Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

MASHA ANAUMWA, DUU KWELI SIASA NI MCHEZO MCHAFU. Sasa hivi utasikia Roho imeacha mwili
 
WUMUWEKEE DRIP LA BANGI LIMPOTEZEE MAWAZO.:hippie: .............................nimecheka sana
 
Niko tayari kuwasaidia kusign Masha, Dialo na Buriani....tena bure kabisa!
 
Habari za kuaminika vijana wamejaa ktk ofisi ya jiji wanasubiri kupewa matokea ya Jimbo alilokuwa Masha na kwa sababu matokeo wanayafamu ingawa CCM wanafanya mbinu zote kuyachakachua haya majimbo ya Maswahiba hawa wawili wa Kikwete wamesema mara tu kama matokeo yatakuwa sivyo ndivyo watachoma moto ofisi na wamejiandaa kwa hili. na hatua zingine kufatia ..
 
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ilemela Bw. Anthony Dialo amegoma kusaini fomu za kukubali matokeo baada ya kuona kuwa amebwagwa na mgombea wa Chadema. Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda.

Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda. ili akapige zaidi wizi wa kodi na mambo mengi, ufisadi pia.
 
Thithiem inaleta usanii kwa kuyakataa matokeo na hivyo kutosaini. Tume ya uchaguzi iliyosimamia uchaguzi imechaguliwa na thithiem hivyo kamwe haiwezi kuchakachua ili thithiem ianguke. Wazee mbali mbali nchi hii ndani ya thithiem akina SAS, Warioba na wengineo inabidi watoe kauli haraka sana ya kuwataka wabunge wa thithiem walioshindwa wayakubali maamuzi ya wapiga kura kabla hali haijawa mbaya nchini mwetu na kuhatarisha amani yetu
 
asubuhi alivuka maji na kwenda nyamatongo ( kwa babu yake)

kisha akarudi na kugoma kusaini form...

mwisho wa siku atakubali tu...
 
Haya majamaa hayakubaliki lakini bado tu yanataka kulazimisha. Hasa hili li Masha....silipendi kabisa mimi....
 
Haya tena, JK katinga Mwanza kimyakimya kunani? au ndiye aliyewashauri wagome kusaini ili fujo zitokee na wafiche aibu kwa gharama ya damu?
 
Apone haraka ili atambue kuwa demokrasia hainunuliwi kwa fedha, watanzania wameamka sasa "KULA CCM KURA CHADEMA". Masha alimwaga fedha nyingi sana, na kwa maisha yake atazipata kwa tabu sana. Arudi tu kwenye law firm yake au acharukie marekani alikokuwa. Hana haiba kabisa, kwanza aje hapa atueleze kampuni yake na wenziwe walifaidikaje na hela ya EPA, DEEP green etc. Yaani pesa zile ndizo anaendelea nazo kutesa kwa kununua demokrasia? Watanzania walio wengi sasa wanasema "HATUDANGANYIKI".
 
polisi wamkamate masha mara moja kwa kutoroka katika mchakato halali wa uchaguzi
 
Back
Top Bottom