Maselebu wetu viwanjani weekend

SDC11430.JPG

Mode huyu Mfunyukuzi atatugombanisha! Kinachofuata sasa ni Kufungiwa kwa JF ngija mzee wa misifa GM waziri wa manews hazione humu ndani! Utasikia kashkash yake! Me nasema inabidi tuwe na tahadhali na Picha zinazoletwa humu ndani! Haya langu Jicho tu mwaya!
 
Hawa ndi kama katika kale ka wimbo Bata.!
hako nako sijui ndio kana mafuta mafuta kidogo. mmh jamani huko stareheni kuna balaa.
 
Back
Top Bottom