Masantula ngoma ya mpwito

Tuimbe sote,masantula,eeh masantula,tucheze wote masantula,eeh masantula
 
Safari yetu Mbeya tulistarehee sanaaa, wakazi wotee Mbeya walitushangiliaa, Sikukuu ya wakulima sabasabaaa,.....
Unaikumbuka Sombreroo?
 
Aisee! mie nimemuona Atuganile peke yake na maua maua yake ,at least anafaa kuja mjini
 
sunola nipo nimerejea juzi usiku nimetua salama kwa chombo binafsi nilikuwa kwenye vikao vya mwaka [emoji23] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji83] [emoji83] aisee mkuu itabidi nikuone Maana huku hali ni tete, kama sio kuapdate mambo basi kuna virus kabisa hakueleweki hata
 
Safari yetu Mbeya tulistarehee sanaaa, wakazi wotee Mbeya walitushangiliaa, Sikukuu ya wakulima sabasabaaa,.....
Unaikumbuka Sombreroo?
Kusema kweli mbeya hatuwezi kusahau
Jinsi walivyotushughulikia kama family moja
Sikukuu ya wakulima saba saba
King Kiki katika ubora wake
 
hahahhha, ndio maana watu tulidata ulivyoadimika ghafla JF tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…