Nchi hii inawapumbavu wengi Sana kwa kweli.
Ifike Mahala hata kwenye maamzi ya kitaifa kama kupiga kula tugawe makundi ya watu. Maana Haiwezekani kura ya watu kama hao ziwe Sawa na watu wanao jielewa
Mkuu wakubwa Wana maslahi na hawa wachungaji wa mchongo. Mtume mmoja alisababisha vifo vingi tu kule Moshi. Waziri alipotaka kumchukulia Sheria wakuu wake wakaingilia Kati jamaa hakuguswa.
Mkuu wakubwa Wana maslahi na hawa wachungaji wa mchongo. Mtume mmoja alisababisha vifo vingi tu kule Moshi. Waziri alipotaka kumchukulia Sheria wakuu wake wakaingilia Kati jamaa hakuguswa.
Mimi najaribu kuwaza Hawa watu ambao waligoma kula mpka wakafa....
Naona kama HAIWEZEKANI...... Najaribu kuwaza
Hii haiwez kua ni SPIN DOCTOR ya kuwaondoa watu kwenye mjadala wa maandamano ya Odinga......