Lakini ndugu yangu wamiliki was hii site wao ndio wanaocontrol na wanajua IP address ya comment zinapotoka.So kwa hilo unalolizungumza sidhani kama linauzito sana humuNinacho kiona humu kuna kikundi cha watu au mtu mmoja anatumia multiple alias names kujaribu kueneza uzushi wenye lengo la kuwafanya watu wahamaki na kuleta fujo,watu kama nyinyi mnapaswa kufatiliwa na kuwekwa kwenye slammer mpaka Rais atakapo hapishwa.
Chadema kwa kuzua.mwaka 2010 walizua kuna lori limekamatwa likiwa na kura.hivi inaingia akili kweli waziri mzima atembee na kura? Acheni kuota mchana mtapata uchizi
Hayo maccm ni majizi kabisa na mwaka huu lazima tuyakamue
Kazi IPI mnayojivunia?
Wakuu kwa habari za hivi punde kutoka Hanang ni kuwa Dr Mary Nagu amekamatwa na maboksi kumi ya kura yakiwa yashapigiwa kura tayari huko Hanang. Sasa hivi amekamatwa yupo Polisi,taarifa zaidi zinakuja.
Mungu amesema ccm sasa baaaaasiiii imetosha waliyoyafanya sasa kwa hivyo wapumzike, na kwa kuamini hilo ni kwamba lowasa ndo fimbo ya ccm
Wameshaanza kutengeneza mazingira ya vijana kufanya vurugu baada ya mahakama kuondolea mbali kukaa mita 200 toka kwenye kituo cha kupigia kura. Hapa wanacheza na akili za vijana ili ionekane kuwa kuna wizi umepangwa. Nakumbuka issue ya Tunduma nilienda hadi kwenye tukio,vijana tujichunge tusiwe silaha za wanasiasa plz
Hakuna hata mwenye picha ya ushahidi??