kufuatilia haitoshi, kinachotakiwa ni kuyadestroymkuu asante kwa kututaarifu,endelea kufuatilia ili tuwajuze makamda wetu wa huko igunga ili wafuatilie
hakuna kichekesho... wamewa-MAMA KIMARIO TU hao wenye maboksi ya kuraHivi ni vichekesho wakikamata wanaambiwa hawaruhusiwi!Wakitoa taarifa wanaambiwa kwanini wasikamate kama masanduku yapo
kama mlijua yapo na yametoka dar kwanini yasiwe intervened?
Masanduku hewa ambayo yalisafirishwa toka dar kwenda ilamba singida tayari kwaajiri ya uchakachuaji wa kura tayari yameanza kupelekwa taratibu kwenye vijiji vya igunga kwa mjibu wa chanzo cha habari kinadai kuwa masanduku hayo yakiwa na kura zilizokwisha kupigwa kabisa yatasambazwa kwa mabalozi wote wa nyumba kumi wa ccm.kisha watendaji wa kata na vijiji kuhusishwa na kupewa utaratibu jinsi ya kuchakachua wakishilikiana na vijana wa green guard ambao ndiyo wameeanza kuyasambaza muda huu.kadili ya chanzo cha habari kitakavyokuwa kinatoa talifa ntawajuza wazalendo wenzangu kama wameanzia vijiji vip na wanatumia magari yap.
si unajua upelelezi ni wa polisi, wangefanyaje?hukumbuki makontena ya mbeya? Mbona walipotezea?
Masanduku hewa ambayo yalisafirishwa toka dar kwenda ilamba singida tayari kwaajiri ya uchakachuaji wa kura tayari yameanza kupelekwa taratibu kwenye vijiji vya igunga kwa mjibu wa chanzo cha habari kinadai kuwa masanduku hayo yakiwa na kura zilizokwisha kupigwa kabisa yatasambazwa kwa mabalozi wote wa nyumba kumi wa ccm.kisha watendaji wa kata na vijiji kuhusishwa na kupewa utaratibu jinsi ya kuchakachua wakishilikiana na vijana wa green guard ambao ndiyo wameeanza kuyasambaza muda huu.kadili ya chanzo cha habari kitakavyokuwa kinatoa talifa ntawajuza wazalendo wenzangu kama wameanzia vijiji vip na wanatumia magari yap.
lakini umewahi kujitathmini au kujiuliza mwenyewe kwanini unashabikia ccm?kama mlijua yapo na yametoka dar kwanini yasiwe intervened?