PAMBA1
Member
- Sep 13, 2011
- 55
- 26
Masanduku hewa ambayo yalisafirishwa toka dar kwenda ilamba singida tayari kwaajiri ya uchakachuaji wa kura tayari yameanza kupelekwa taratibu kwenye vijiji vya igunga kwa mjibu wa chanzo cha habari kinadai kuwa masanduku hayo yakiwa na kura zilizokwisha kupigwa kabisa yatasambazwa kwa mabalozi wote wa nyumba kumi wa ccm.kisha watendaji wa kata na vijiji kuhusishwa na kupewa utaratibu jinsi ya kuchakachua wakishilikiana na vijana wa green guard ambao ndiyo wameeanza kuyasambaza muda huu.kadili ya chanzo cha habari kitakavyokuwa kinatoa talifa ntawajuza wazalendo wenzangu kama wameanzia vijiji vip na wanatumia magari yap.