Masanduku hewa ya kupigia kura yaandaliwa Igunga

Status
Not open for further replies.

PAMBA1

Member
Sep 13, 2011
55
26
Masanduku hewa ambayo yalisafirishwa toka dar kwenda ilamba singida tayari kwaajiri ya uchakachuaji wa kura tayari yameanza kupelekwa taratibu kwenye vijiji vya igunga kwa mjibu wa chanzo cha habari kinadai kuwa masanduku hayo yakiwa na kura zilizokwisha kupigwa kabisa yatasambazwa kwa mabalozi wote wa nyumba kumi wa ccm.kisha watendaji wa kata na vijiji kuhusishwa na kupewa utaratibu jinsi ya kuchakachua wakishilikiana na vijana wa green guard ambao ndiyo wameeanza kuyasambaza muda huu.kadili ya chanzo cha habari kitakavyokuwa kinatoa talifa ntawajuza wazalendo wenzangu kama wameanzia vijiji vip na wanatumia magari yap.
 
kibakwe

Senior Member
May 10, 2011
171
22
mkuu asante kwa kututaarifu,endelea kufuatilia ili tuwajuze makamda wetu wa huko igunga ili wafuatilie
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
kama mlijua yapo na yametoka dar kwanini yasiwe intervened?
 
kiche

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
456
155
Hivi ni vichekesho wakikamata wanaambiwa hawaruhusiwi!Wakitoa taarifa wanaambiwa kwanini wasikamate kama masanduku yapo
 
Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Nimehakikishiwa sasa hivi na kamanda mmoja wa CDM aliyeko Igunga kwamba CCM hawawezi kufanya kitu kama hicho kwa sababu CDM wako macho sana. Wamepenyeza wati katika mikakati yote ya CCM na wanaripoti kila baada ya masaa sita.

Ndiyo maana njama za matukio ya DC wa Igunga kukutana kisirisiri na watendaji wa CCM, akina Aeshi kufyatua risasi na hata tukio la tindikali yalijulikana mapema sana.
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
Hivi ni vichekesho wakikamata wanaambiwa hawaruhusiwi!Wakitoa taarifa wanaambiwa kwanini wasikamate kama masanduku yapo
hakuna kichekesho... wamewa-MAMA KIMARIO TU hao wenye maboksi ya kura

nchi hii mwizi akikamatwa hakuna kesi
 
mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
852
Masanduku hewa ambayo yalisafirishwa toka dar kwenda ilamba singida tayari kwaajiri ya uchakachuaji wa kura tayari yameanza kupelekwa taratibu kwenye vijiji vya igunga kwa mjibu wa chanzo cha habari kinadai kuwa masanduku hayo yakiwa na kura zilizokwisha kupigwa kabisa yatasambazwa kwa mabalozi wote wa nyumba kumi wa ccm.kisha watendaji wa kata na vijiji kuhusishwa na kupewa utaratibu jinsi ya kuchakachua wakishilikiana na vijana wa green guard ambao ndiyo wameeanza kuyasambaza muda huu.kadili ya chanzo cha habari kitakavyokuwa kinatoa talifa ntawajuza wazalendo wenzangu kama wameanzia vijiji vip na wanatumia magari yap.

mara hii haitakubalika demokrasia kushindwa na kutukanwa na hao wendawazimu ccm..wananchi wenyewe waachwe waamue
 
Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
414
Hawa magamba watu hatari sana kwa uwizi wa kura,tayari kuna taarifa kua hata Kikuyu Kaskazini Dom ambapo kuna uchaguzi wa diwani hii mambo inaendelea
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,516
11,823
uchaguzi ndani ya ccm wao kwa wao wanaibiana,rushwa sembuse kwa chama pinzani
 
Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,401
255
Kwa mawazoyagu nadani ni lazima nasi tujifunze namna ya kujnitoa mhanga na kuangaminza kina Liyumba na wezi wote wanaofanyiwa na kufanya nusanii ili kuudangaya wadanganyika na ili kuwajenga ofu hasa watu kama Mkupa na Rosti Tamu wasinge iba na kusimama Igunga na kuangaliwa bure. kujitoa mhanga ni lazima. Heshima haitakuwepo. Nadhani wanafanya hivi kwa dharau. Kila siku wanaiba. Chaguzi ndogo Busanda waliiba, Mbeya wakaiba, Biharamulo wakaiba, uchaguzi mkuu wakachakachua. Igunga wataiba....... Nina hasira mimi..... alafu Nape anasema akiwa mkoani Mara jana kuwa kuchagua upinzani ni kujiletea umasikini........
 
Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
256
Masanduku hewa ambayo yalisafirishwa toka dar kwenda ilamba singida tayari kwaajiri ya uchakachuaji wa kura tayari yameanza kupelekwa taratibu kwenye vijiji vya igunga kwa mjibu wa chanzo cha habari kinadai kuwa masanduku hayo yakiwa na kura zilizokwisha kupigwa kabisa yatasambazwa kwa mabalozi wote wa nyumba kumi wa ccm.kisha watendaji wa kata na vijiji kuhusishwa na kupewa utaratibu jinsi ya kuchakachua wakishilikiana na vijana wa green guard ambao ndiyo wameeanza kuyasambaza muda huu.kadili ya chanzo cha habari kitakavyokuwa kinatoa talifa ntawajuza wazalendo wenzangu kama wameanzia vijiji vip na wanatumia magari yap.

Mijitu mingine bwana bureeeeeee, ovyoooooooo? kama huna hoja soma za wenzio,,,,,,,?
 
Jiwejeusi

JF-Expert Member
May 3, 2011
753
130
Wizi huu unawezekana. Ila kuna trik ya kuwapigia kura wasiojua kusoma na kuandika. Ktk vijiji vingi kuna mtu ambaye ni special kwa ajili ya kuwapigia kura wasiojua kusoma na kuandika hivyo huamua wa kumpa.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom