The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Yani wanachukulia poaPale viongozi wanapoweka pamba masikioni, mwisho wa siku hata waoga wanachoka.
Kutojitambua tuYani wanachukulia poa
Ushawahi kufika Dar ?
NgPale viongozi wanapoweka pamba masikioni, mwisho wa siku hata waoga wanachoka.
Hata hao Nepal walisemekana hivyoWaoga wa bongo wasije wakajaribu
Ng
Hizo kauli sio ngeni masikioni mwako.Hata hao Nepal walisemekana hivyo
Wewe upo masikioni mwangu?Hizo kauli sio ngeni masikioni mwako.
Mimi nipo Kihesa nasubiri mabasi ya kwenda Mbeya.Wewe upo masikioni mwangu?
Tatizo lenu mnakula nauli sana , ukifika useme.Mimi nipo Kihesa nasubiri mabasi ya kwenda Mbeya.
Endelea kulinda nyumba kwa uaminifu mkubwaTatizo lenu mnakula nauli sana , ukifika useme.
🚮Endelea kulinda nyumba kwa uaminifu mkubwa