babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,147
- 16,073
mi hata hayo madai siamini vizuri usikute bado ni yeye mwenyewe lowassa katengeneza mchongo mwingine ili jamaa wakilipwa fidia ale %,lowassa hawezekanikiMagazeti yetu yanaamini hayauzi bila richmond/lowassa/rostam.
Hivyo mtu mwenye akili yake anaweza kuutwisha uamuzi wa serikali [cabinet decision] kwa mtu mmoja??? basi kama kuna mtu wa kutwisha bora angebebeshwa rais.
msishangae anaweza akawa next prezda.
Hold on!
Ina maana alivyosema tu libomolewe, basi wasaidizi wake, manispaa husika, n.k vilifuata u amri blindly bila kupinga au kushauri??
Kituko,Mkuu Wareboya
mimi ntakushangaa sana kama wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, Watu wamechukua EPA kwa vimemo tu, wewe unaweza kuamini Waziri anawaambia Watanzania, kama kula majani basi mtakula lakini ndege ya raisi lazima inunuliwe,
hivi umesahahu ile issue ya bakhresa kumwagiwa ngano yake na kisha kulipwa mamilioni ya pesa, hivi kweli umesaahau amri ya kumuua Kombe ilivyotolewa na kutekelezwa, vipi kuhusu Rada, Richmond je? wataalamu waliikataa hiyo kampuni lakini Waziri akasema ije na ikaja
kuhusu Buzwagi umesahahu mkuu, Raisi akasema kuanzia sasa mikataba yote itapitiwa kitaalamu lakini jamaa (waziri) akabeba makarablasha kwenda UK kusaini mkataba wa ujinga kabisa
HII NDIO BONGO VISIVYOWEZEKANA KWA WENGINE BONGO INAWEZEKANA
Kituko... i dont like lowassa to be in Tanzania politics, ningependa zaidi akae na beautiful wife wake atuachie nchi yetu!!! Lakini kwa hili naomba tuwe waangalifu kidogo..Mkuu Wareboya
mimi ntakushangaa sana kama wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, Watu wamechukua EPA kwa vimemo tu, wewe unaweza kuamini Waziri anawaambia Watanzania, kama kula majani basi mtakula lakini ndege ya raisi lazima inunuliwe,
hivi umesahahu ile issue ya bakhresa kumwagiwa ngano yake na kisha kulipwa mamilioni ya pesa, hivi kweli umesaahau amri ya kumuua Kombe ilivyotolewa na kutekelezwa, vipi kuhusu Rada, Richmond je? wataalamu waliikataa hiyo kampuni lakini Waziri akasema ije na ikaja
kuhusu Buzwagi umesahahu mkuu, Raisi akasema kuanzia sasa mikataba yote itapitiwa kitaalamu lakini jamaa (waziri) akabeba makarablasha kwenda UK kusaini mkataba wa ujinga kabisa
HII NDIO BONGO VISIVYOWEZEKANA KWA WENGINE BONGO INAWEZEKANA
Mkuu Wareboya

I like this Waberoya... we have a serious systemic problem, and very sad indeed... the culprits are always individualizing issues!!My question was not so simple my dear,
Lowassa alijuaje jengo limejengwa mahali pabaya? aliletewa taarifa? na nani?
Aliposema libomolewe siyo yeye aliyetafuta contractor wala kushima nyundo, kuna watu walitekeleza, in other words ni system fulani.
Haya yote yanatokea ofisi moja? vibali vilitolewa wapi na hakuna aliyejiridhisha kuuliza kama ni vya kweli au uongo? Leo tunasema Lowassa ila wahusika walioshirikiana na Lowassa wao ni wasafi!!
I believe that and here is my point; kuna CLASS au LAYER fulani ya watendaji fulani serikalini ambao huwa wanatoa taarifa za uongo kwa uongozi au taarifaza uwoga, taarifa za kupikwa, hii layer imekuwa ikiishi vizazi na vizazi na pengine ndio hao wanaenda kuwa viongozi.
I believe wakati Lowassa anawajibika hakutakiwa kuondoka peke yake, ilitakiwa kila mmoja aeleze uhusika wake kwenye hili swal ( au lile richmond), system nzima inabidi iwe inaondolewa, kama mtu alilazimishwa atie sign itajulikana, nchini mwetu kila mtu mzembe na nidhamu za woga ndio zinawafanya mafisadi kuishi, lani wenyennidhamu ya woga ndio catalyst wazuri kabisa wa ufisadi!
Kuna watu fulani tunawaficha na hawaonekani wakitajwa lakini ndio key pleaye wa maufisadi yote. Sisi hoja zetu siku zote zina lenga kumuondoa mkubwa,ili hali jukumu la kujenga na limda taifa hili ni la kila mtu. Kulinda taifa hata ikibidi kufukuzwa kazi!! wasipotokea hawa mashujaa kwenye medium class makazini , ufisadi hautaisha. This is our challenge!
Hupo?
I like this Waberoya... we have a serious systemic problem, and very sad indeed... the culprits are always individualizing issues!!
Ingekua mimi ningesema tatizo ni rais... kwani ndio kichwa cha system
Kama ni kuwajibishwa ujue ni kunyang'anywa madaraka au kuhamishwa kituo cha kazi basi. Hatimae kodi za walalahoi ndizo zilipie fidia hiyo badala ya kupewa huduma muhimu za kijamii. Ndio maana naiota sana China na sheria zake.
Kama serikali/halmashauri itatakiwa kulipwa itabidi waliohusika na uzembe ndio walipe ,au hii itashindikana vp!?
Mkuu, hizi tuhuma zaweza kufika hadi kwa mimi na wewe... but he is one of the leading character kwenye hili!!There you are; Lowassa haondolewi kwenye hizi tuhuma, atakuwa nazo mpaka mwisho wa dahari ,alipenda kukurupuka na kuto-delegate mambo. However, we must know that , hii vita ya rushwa inaanzia kwa mmoja mmoja tutakaposema NO kwa viongozi wa juu kwa sababu ya kutofautiana nao, basi ndio ukombozi wetu, tutakaposema YES kwa kila kitu hasara zake ndio hizi.Lowassa hayupo deni hili watatukata kwenye mishahara yetu, hasira imekujwa kwani , deni hili walipe hao hao akina Lowassa na alioshirikiana nao.
hayo huwa hayasemwi baba!!! alikurupuka juzi kuhusu TRL pia na leo tumeona sound system tu!!Tatizo la maamuzi ya kukurupuka. Angalieni kule Biharamulo mkuu wetu alivyokurupuka kuwafukuza wachina watengeneza barabara kabla ya mkataba wao kuisha, serikali ililipa mabilioni ya pesa. Kwa sasa wapo wachina wengine nimesikia!
hayo huwa hayasemwi baba!!! alikurupuka juzi kuhusu TRL pia na leo tumeona sound system tu!!
Nani amesahau kukurupuka kwa daraja la kigamboni na sasa we are counting our blessings with loss of over 50M dollars?
once again, the problem is systemic!!