NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,248
[h=2]Kama wewe ni msomaji mzuri wa Blog hii tuliwahi kukuletea Habari ya mwanamama mmoja anaefanya masaji kwa kutumia MATITI YAKE kama hakumbuki picha moja wapo ni hii hapa chini[/h] [h=2]lakini sasa tuiache hiyo sasa kuna hii nyingine ya kufanyiwa kwa kutumia Nyoka Masaji hii ni maarufu sana huko indonesia na inapendwa sana na baadhi ya watu hebu jionee Picha[/h] [h=2]Hapa nyoka akimfanyia katika macho na usoni kwa ujumla je?wewe unaweza kuthubutu hii kufanyiwa hivi...[/h] [h=2]Kama unavyojionea katika Picha Joka likijivinjari sehemu mbalimbali ya Mwili wa mteja wa masaji hii.[/h] [h=2]Hapa ndipo inapoifadhiwa Nyoka huyo na utolewa humu pale mteja anapokuja kupata huduma.[/h] [h=2]Huyu ndo Mwanamama alietumia 'FURSA' ya kuanzisha Masaji hii na ukiangalia kwenye mapazia utaona mteja tayari yupo tayari kupata huduma hiyo.[/h]