Masai wamejiweka TAYARI na AK47, Aiseeh

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
TURKANA+WOMEN.jpg
 
Sahihisho, hawa si Wamasai. Kinamama wa Kimasai hunyoa nywele zote na wala hawasuki. Hawa nawafananisha na kabila la Karamoja lipatikanalo kaskazini mwa Uganda na kusini mwa Sudan. Nakaribisha kusahihishwa pia.

Naunga mkono hoja!
 
Naomba pia kuuliza hapa jukwaani kwa wenye ufahamu wa hiyo silaha huwa ni AK 47 au ni SMG??? Naomba kusaidiwa waungwana
 
Mkubwa! Naunga hoja mkono. Siyo Maasai hao ila naona hakika hawa wamama wamechafukwa na mioyo huko walipo.
 
Sahihisho, hawa si Wamasai. Kinamama wa Kimasai hunyoa nywele zote na wala hawasuki. Hawa nawafananisha na kabila la Karamoja lipatikanalo kaskazini mwa Uganda na kusini mwa Sudan. Nakaribisha kusahihishwa pia.
sasa kama hawa si wamasai, mweka mada alikuwa na lengo gani kutudanganya sisi wengine ambao hatuna ujuzi wa kutosha kupambanua kati ya wamasai na makabila mengine? haoni kuwa amewakosea haki wamasaid kwa kuwaonyesha kama 'watu wa vitavita?'
 
Naomba pia kuuliza hapa jukwaani kwa wenye ufahamu wa hiyo silaha huwa ni AK 47 au ni SMG??? Naomba kusaidiwa waungwana
Hiyo ni AK47,SMG inakuwa na umbo dogo kidogo.
Na kwa SMG inahitaji uangalifu wa zaidi hasa kwenye usafi na matunzo.Wakati AK47 ni rahisi kuitunza haina milolongo mingi.
Kwa hiyo hao watu wa vijijini ni rahisi kwao kutumia AK47
 
Additionally, kwa mambo yetu yaleeeeee, AK47 haina mapepe mengi kama SMG, so ni silaha nzuri zaidi kuliko SMG kwa shabaha.
 
  • Thanks
Reactions: tz1
AK 47, ndio hiyo hiyo SMG, na haswa Watanzania ndi tunavyo ita hiyo assault rifle.

akms.jpg

Gonga hapa utaziona aina mbalimbali za AK.
 
Sahihisho, hawa si Wamasai. Kinamama wa Kimasai hunyoa nywele zote na wala hawasuki. Hawa nawafananisha na kabila la Karamoja lipatikanalo kaskazini mwa Uganda na kusini mwa Sudan. Nakaribisha kusahihishwa pia.

wamasai hawawezi kushika bunduki?mmasai ni mmasai tu haijalishi ni karamoja au karambili
 
Ni maeneo ya Turkana kaskazini mwa Kenya ambako wanavijiji walikuwa wakijilinda na uvamizi wa mara kwa mara wa Wasomali. Nakumbuka documentary hiyo niliiona miezi kadhaa iliyopita kupitia Citizen Tv ya Kenya.
 
Back
Top Bottom