Masai na dawa ya nguvu za kiume

Masai na dawa ya nguvu za kiume

Kwa wanaume wengi NGUVI ZA KIUME ni swala la kisaikolojia tu, akishaambiwa lazima bao tatu na yeye kapiga moja basi anajiona mdhaifu
Mkuu ulichokisema ni point 100% ... Nimeprove hicho kitu binafsi na pia niliwah kuongea na daktari bingwa wa hizo mambo akaniambia ni wenge zetu tu..japo kuna mengine ila kubwa ni saikolojia
 
Unachanganyiwa na viagra.. Ukinywa tuu , mzigo huooo , jino moja tu umewaka... Unajiona kiduuuume mbele ya mwajuma , kumbe ndo unajimaliza
 
mkuu uo uchunguzi umeufanyia wapi juu ya mizizi yenye sumu...? nani alikufa baada kunywa dawa za kimasai...? ukipata muda rudi kijijini ukakae na mababu wakufunze...kwa uelewa wangu mdogo akuna watu wenye miti yenye dawa zenye nguvu kama WAMASAI
Wengine ni shida ya kutokaa vijijini,mimi nimekaa vijiji vya karibu na wamasai,wana mzizi au magome ya mti wanatumia kwa ajili hiyo,yenyewe haifanyi kazi kana viagra kwa haraka,unaitumia kwa muda kama wiki ndio unaona matokeo,pia yenyewe ni permanent ukishatumia tatizo linaisha jumla sio kama viagra ukiacha unarudi palepale,pia inatumika kutibia hata watu wenye ngiri,sasa sijui hawa wamasai wa mjini wanauza hiyo au wanachanganya na dawa zingine...
 
Waongo sana hao hakuna dawa wala nini.Wanasaga majani ya moarobaini halafu wanadanganya eti dawa ya ngufu ya kiume !
Washenz sana hao
 
Back
Top Bottom