Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,979
- 3,576
Mjini shule, kua uyaone.
Hii imetokea sikukuu ya Idd nilikua nakatiza mitaa fulani amaizing nilikuwa nimetinga pamba kali nashine hatare.Huku nimevalia kiatu matata nilichonunua china kupitia apps ya KIKUU.Basi ukijumlisha na ile chain ya gold sikushangaa kuitwa majina matamu hapa jijini.
Nirudi kwenye mada wakati nakaribia kuingia Serena Hotel nikasikia sauti vipi? Sikugeuka nikasikia tena Assalam allekum! Basi nikageuka bila ya kuitika salam! Nakutana uso kwa uso na Masai akaniambia 'fipi rafiki' unataka dawa? Nikamjibu hapana kwa kutikisa kichwa. Akauliza tena hutaki dawa za 'ngufu sa kiume'? Nikatabasamu nikamjibu hapana?
Kabisa sikubaliani na njia hii ya hawa jamaa ya kufanya biashara za dawa kwa kuhoji wapita njia?Kuna wengine hupita nyumba hadi nyumba na kushawishi vijana kuhusu dawa za kuongeza nguvu hii pia haijakaa poa?
Kidogo niliona soo kuulizwa kama nataka dawa za 'kuongesa ngufu' Nashukuru mrembo niliekuwa naye kiswahili hakipandi vizuri iyo ndio ilikua ahueni kwangu.
Niwaase ndugu zangu hizi dawa za wamasai sio nzuri za kutumia kiholela kwani wanachanganya mizizi yenye sumu kali hivyo kuweza kuharibu ini pia kuhatarisha uwiano wa viungo vya mtumiaji.Wauza dawa kama hawa hawatoi huduma. Wanasaka Pesa.