Masai katishaje????

Masai katishaje????

Info Boy

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
33
Reaction score
6
Masai kaenda namkewe hospital, Dr akasema, mimba imetunga nje ya kizazi, inatakiwa apasuliwe. masai kaanza kusema, Hii mama jinga sana wakati mm nafanya mapenzi, yeye nakata kiuno kusoto mara kulia, naambia tulia yeye nasema endelea tu hamna sida, ona asa yeye nakosesha mm shabaha! nalenga nje ya kisas
pata zaidi hapa
 
Maasai kiboko kashajua chanzo. Kwahyo na ww kumbuka kumuonya mkeo mapemaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom