mmasai mmoja alikuwa anatokea kijijini kwao kuja mjini,alipofika mjini akakuta akinamama wanauza vitumbua barabarani,masai akanunua kimoja %baada ya kumaliza kula akasema"aiseee rafiki nipatie mbegu yake na mimi nikapande kwa shamba yangu"¤¤the end
unamwambia ukitaka iote..! unabidi upande hii ndoo nzima..! sasa nikuusie..! walllahi ananunua ndoo nzima ya vitumbua..! na wewe unaondoka zako biashara utakua umeifunga mapemaaaa..!:tongue: