Masahihisho uchaguzi ubunge Songea Mjini

Ya songea yameshapita! Nangojea wa kwetu Kinondoni tuone maajabu mengine! Mtu kajiuzuru mwenyewe kisha anagombea tena ili achaguliwe! Watu hawana huruma kabisa na pesa zetu! Afu mzee wa chato anajifanya kubana matumizi! Ndo mana Trump huwa anawapaka
Na wewe ukiwemo ni mhanga wa Trump kwa kulalamika huku siyo bure inaelekea uliandaa kabisa ofisi ya mbunge wa cdm.
 
Sasa wewe umelikoroga zaidi kwa hesabu nyepesi +1mbele ili kufikia malengo yako. Kama waliojiandikisha ni 128841 Then waliojitokeza kupiga kura wasifike hata nusu yake? Hapo bado kuna ukakasi mkubwa
Idadi ya waliojitokeza inatosha kuwakilisha wenzao ambao hawakupata nafasi ya kwenda kupiga kura.
 
Kuna taarifa ya upotoshaji imesambaa ikionesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika uchaguzi wa marudio Songea Mjini kuwa ni 28,841. Idadi hiyo imepotoshwa ukweli ni kwamba wapiga kura walikuwa 128,841. Namshauri msimamizi wa uchaguzi Songea Mjini ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa achukue hatua kali za kisheria dhidi ya upotoshaji huo.
So what!!!
 
Acha kupotosha watu wewe, mlisusia uchaguzi shingo upande shida nini sasa, tulieni sindano iingie.
 
Chadema wanahangaika kufuatilia uchaguzi wakati walisusa
Ilitegemewa wangetumia kampeni kupaza sauti zao,lakini wakaamua kujifukia
 
Mwizi ni mwizi tu, hata nyumbani kwake ataiba
 
Kuna taarifa ya upotoshaji imesambaa ikionesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika uchaguzi wa marudio Songea Mjini kuwa ni 28,841. Idadi hiyo imepotoshwa ukweli ni kwamba wapiga kura walikuwa 128,841. Namshauri msimamizi wa uchaguzi Songea Mjini ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa achukue hatua kali za kisheria dhidi ya upotoshaji huo.

Aiseee.
Kwa hiyo mshindi amepata kura ngapi ?manake na zenyewe haujarekebisha.
Kama zimebaki kama zilivyoripotiwa maana yake amepata chini ya 50% ya kura zote.
Ama pia waliojitokeza kupiga kura walikuwa chini ya 60% ya wapiga kura wote walioandikishwa
 
Sasa wewe umelikoroga zaidi kwa hesabu nyepesi +1mbele ili kufikia malengo yako. Kama waliojiandikisha ni 128841 Then waliojitokeza kupiga kura wasifike hata nusu yake? Hapo bado kuna ukakasi mkubwa
Siyo issue, huu ni wakati Wa kilimo so far watu wako mashambani
 
Back
Top Bottom