Kuna taarifa ya upotoshaji imesambaa ikionesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika uchaguzi wa marudio Songea Mjini kuwa ni 28,841. Idadi hiyo imepotoshwa ukweli ni kwamba wapiga kura walikuwa 128,841. Namshauri msimamizi wa uchaguzi Songea Mjini ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa achukue hatua kali za kisheria dhidi ya upotoshaji huo.
Mchezo huu hautaki hasira Mkuu, mlizira game, tulieni, kutegemea huruma ya jukwaa ni kupoteza Wakati
Povu na matusi ndo tatizo Mkuu, kwa Nini hawawi kama wewe?Mkuu thetallest usitie shaka, watu wanaweka rekodi sawa. Usizuie mtu kujadili hasa ukizingatia anatumia MB zake. Kushiriki hakukunyimi kujadili, vuta subira watu wapate nini huwa kinaendelea. Kama hakuna tatizo hofu ya nini?
harakati za kuandika uwongo wanasahau mpaka data za miaka miwili iliyopita.hapo hatujaondoa waliokufa [emoji16][emoji16]HAYA NI MATOKEO YA MWAKA 2015 SONGEA MJINI AMBAPO MACCM LEO YANASEMA WALIOJIANDIKISHA NI 128,841 YANI NI WENGI KULIKO WALE WA MWAKA 215 AMBAO WALIKUWA 127,738. YANI WAMEONGEZEKA WAPIGA KURA 1,103. NASIKIA HARUFU KALI YA CHOO!
MACCM NI CHOO TU!
CHAMA cha Mapinduzi katika jimbo la Songea Mjini Mkoani Ruvuma Kimefanikiwa kuibuka ushindi wa ubunge baada ya kuhesabu kura mara mbili na kumfanya mgombea wa chama hicho Leonidas Gama kutangazwa mshindi na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo
Akitangaza matokeo hayo Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Jimbo hilo Rafael Kimari alisema kuwa kulikuwa na vyama vitatu ambavyo vilisimamisha wagombea kikiwemo chama cha ACT WAZALENDO,CCM na Chadema
Kimari alimtangaza Leonidas Gama kuwamshindi kwa kupata kura 40,886, na kufuatiwa na mgombea wa Chadema Joseph Fuimealiyepata 37000 na wa mwisho ni mgombea wa ACT WAZALENDO Emmanuel Msabila ambaye alipata kura 436
Alieleza kuwa katika jimbo hilo idadi yawaliojiandikisha walikuwa ni wapigakura 127738 ambao walitakiwa kupiga kura zao 324 katika jimbo la uchaguzi wa jimbo hilo
Alieleza kuwa jimbo lenye kata 21 chama cha mapinduzi kimefanikiwa kushinda kata 16 , chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimefanikiwa kushinda kata 4 na chama cha wananchi Cuf kimeshinda kata 1
[emoji23][emoji23] mnazidi kuwachanganya jamani. give them abreak!Kwan 90% ya 128,841 ni ngap mkuu
Povu na matusi ndo tatizo Mkuu, kwa Nini hawawi kama wewe?
inawezekana wakazi wameongezeka na hakuna waliokufa ndio maana idadi ya waliojiandikisha imeongezekaharakati za kuandika uwongo wanasahau mpaka data za miaka miwili iliyopita.hapo hatujaondoa waliokufa [emoji16][emoji16]
wakazi wa Songea mjini wameongezeka mkuu na hakuna aliokufa ndio maana idadi imeongezekaMkuu kuja na vitisho ni kama unaona watu ni wajinga humu jukwaani. Huna muda utaumbuka kwa huu muhemko wako. Ili kuweka rekodi sawa, tupe idadi ya waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2015 kwakuwa daftari halijafanyiwa mabadiliko. Halafu ili kumpa huyo mkurugenzi nguvu mwambie awahi kabisa kesho mahakamani, wakifungua tu anashitaki, ila ahakikishe aende na idadi ya waliojiandikisha kupiga 2015 na idadi aliyotaja hiyo jana iendane na ile iliyotumika kutoa mshindi wa hapo Songea.
[emoji16][emoji16]inawezekana wakazi wameongezeka na hakuna waliokufa ndio maana idadi ya waliojiandikisha imeongezeka
90% ya 128.841 ni kiasi gani?wakazi wa Songea mjini wameongezeka mkuu na hakuna aliokufa ndio maana idadi imeongezeka
90 % ni ya waliopiga kura sio waliojiandikisha90% ya 128;841 ni ngapi? mnaojua hisabati tuambieni
Sasa waliopiga kura ni wangapi?..Mbna unakuja na habari nusu nusu?..Hivi ccm mna laana gani?Kuna taarifa ya upotoshaji imesambaa ikionesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika uchaguzi wa marudio Songea Mjini kuwa ni 28,841. Idadi hiyo imepotoshwa ukweli ni kwamba wapiga kura walikuwa 128,841. Namshauri msimamizi wa uchaguzi Songea Mjini ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa achukue hatua kali za kisheria dhidi ya upotoshaji huo.
wakazi wa Songea mjini wameongezeka mkuu na hakuna aliokufa ndio maana idadi imeongezeka
90% ya 128;841 ni ngapi? mnaojua hisabati tuambieni
Uliataka ashinde kwa asilimia ngapi labda?MTU kashinda kwa zaidi ya asilimia 90%!
Suala LA uchaguzi Huru na haki itabaki kuwa Giza awamu hii.
Wewe ni Kailima ?Kuna taarifa ya upotoshaji imesambaa ikionesha idadi ya wapiga kura walioandikishwa katika uchaguzi wa marudio Songea Mjini kuwa ni 28,841. Idadi hiyo imepotoshwa ukweli ni kwamba wapiga kura walikuwa 128,841. Namshauri msimamizi wa uchaguzi Songea Mjini ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa achukue hatua kali za kisheria dhidi ya upotoshaji huo.