Me nasema katika miezi yote mtoto yuko tumboni mwa mama yake hupumua tumia system ya mama yake na pale atokapo tumboni mwa mama yake ndipo anapo anza kupumua hii hewa ya mungu live sasa hapo ndipo twaanza kumwesabia umri wake huku duniani na sio kuanzia tokea mimba ilipotungwa.
Kutokana na sababu hiyo ya ujinga wa AKINA MAMA kutofahamu siku ya kukonceive, basi na tuhalalishe DOB iwe ndo UMRI WA MTU!(ooh..gosh!).........Lakini, kwa kuweka sawa mambo, kila mtu na ajue hilo, kwamba ana umri zaidi ya ule anaodai kuwa nao, tusijionee huruma bila sababu!...Tusikatae na hilo wakuu!
Wadau, napenda kuuliza swali baada ya maelezo yafuatayo!
Mtoto anaanza uhai toka siku ya kwanza anatungwa mimba, hili bila shaka halina ubishi.
Anakua hadi umri wa miezi 9(with more or less) na kuzaliwa.
Kwanini akizaliwa tunafuta umri wake alioishi tumboni akiwa hai, na kuanza kuhesabu siku 1 nakuendelea?
Kwanini tusingeendeleza ile miezi tisa ili tuwe na umri sahihi wa mtu?
Unajua kwamba mtu yeyote anakuwa na umri aujuao yeye, plus miezi 9ambayo haisemwi?
Kwanini inafanyika hivi?

Unajua nawashangaa sana....Mambo ya kupumua hewa ya Mungu yanatoka wapi nyie?....Uhai ni uhai regardless of wapi yule mtu yupo!Mambo ya kusema...sijui ZYGOTE, EMBRYO, LARVA, yanaingia vipi hapa, the thing is whatever that it might be, kinakua na kuongezeka na kuchukua umri, Kuzaliwa ni mojawapo ya hatua tu za mwendelezo wa maisha yake!..huh!....Kwamba wengine wanazaliwa na miezi 7, wengine 8,9,10,11 etc, hiyo pia sio hoja, maana mtu husika ataongezewa ile miezi husika aliyozaliwa nayo-..sijasema wote wapewe miezi tisa!....................Nisaidieni hapo muelewe pamoja na mimi!
Nimegundua kitu hapa...Watu wana hofu na umri!...huh!.............Kwanini tuogope kuonekana wa umri wetu sahhihi?...uNNECESSARILY skeptical of the truth!
Kutokana na sababu hiyo ya ujinga wa AKINA MAMA kutofahamu siku ya kukonceive, basi na tuhalalishe DOB iwe ndo UMRI WA MTU!(ooh..gosh!).........Lakini, kwa kuweka sawa mambo, kila mtu na ajue hilo, kwamba ana umri zaidi ya ule anaodai kuwa nao, tusijionee huruma bila sababu!...Tusikatae na hilo wakuu!
MM,ni vyombo gani vinahusika na hii ishu?Ni mimi na wewe,wala si chombo chochote cha dolaKipimo kinachotumika duniani kupima umri wa mtu ni kuanzia siku aliyozaliwa(aliyoanza kupumua kwa kutumia mapafu yake) sasa kama unapendekeza mabadiliko ya utaratibu huu peleka hoja yako kwenye vyombo husika, au kila unapomuuliza mtu umri uongeze na miezi aliyokaa tumboni ili uweze kujiridhisha hilo nalo unaweza kulifanya kama litakua rahisi kwako..! vinginevyo sioni kufanya hivi kutatuongezea nini??? au kuhesabu miaka kwa desturi tuliyoizoea kunatupunguzia nini??