Mkuu,kwema?
kuna kitu blackberry priv umeifatilia?Mi ni fun wa bb for so long,Z10 na mwaka nao wa tatu,sasa nataka nihamie kwenye priv au passport.
Naomba ushauri.