Masada wa namna ya kujiondoa kwenye facebook

Masada wa namna ya kujiondoa kwenye facebook

ketete

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
792
Reaction score
798
Naombeni wenye ujuzi wa namna ya kujiondoa kwenye facebook na kuifunga akaunti isionekana na mtu yeyote.
Naombeni mnisaidie kwa wote mnaofahamu.
 
Hata Mimi Nataka Kufuta Kabisa Acc Yangu Fb Yani Nimejalibu Nimeshindwa Naletewa Notification Through Phone # ,, Wenye Ujuzi Jaman.
 
Naombeni wenye ujuzi wa namna ya kujiondoa kwenye facebook na kuifunga akaunti isionekana na mtu yeyote.
Naombeni mnisaidie kwa wote mnaofahamu.
Nenda kwenye setting, options zote unazotaka zipo huko...
 
Back
Top Bottom