Natanguliza heshima,naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kujailbreak ipad kwa ni nashindwa kuweka applications mbalinbali kila nikijaribu Ina niambie u have to jailbreak it first,hata raha nayo nakosa kabisa.nipo dar