Masada,picha zangu kwenye simu zimeliwa na virus

mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,406
1,889
Naomba msaada kwa mtu anaeweza kufungua picha ambazo zimeathiriwa na virus.
Picha zipo ila zinafunguka kama vidubwasha Fulani hivi hata file extantion yake imebadilika.

Tafadhali mwenye ujuzi anisaidie nitajua namna ya kumtoa wakati huu wa sikukuu

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Km una pc hapo. Install kaspersky hata km ni trial version kisha chomeka simu yako kisha i scan itafanya desinfect picha yako.
Ukikosa pc, install kweny simu yako kaspersky.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…