Msaada wa Applock nzuri kwenye simu za Android

last king of uscoch

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
2,700
3,924
Habarini wakuu, natafuta applock fulani hivi niliwahi itumia kwenye simu yangu ya Oppo. App ile niliioenda kwa sababu ilikuwa,kama ukitaka kufungua file nilikolilo ck basi inakuandikia unfortunately app stop, ukipress ok linaondoka.Sasa nimesahau jina la hiyo app

Najua humu kuna wataalamu wengi wenye ujuzi na hili naomba mnisaidie tafadhali,

Natanguliza shukrani kwa michango yenu.
 
Habarini wakuu, natafuta applock fulani hivi niliwahi itumia kwenye simu yangu ya oppo.App ile niliioenda kwa sababu ilikuwa,kama ukitaka kufungua file nilikolilo ck basi inakuandikia unfortunately app stop, ukipress ok linaondoka.Sasa nimesahau jina la hiyo app

Tumia calculator ikoo poa sanaaa
 
Mkuu ukipata jina la hiyo app ni tag
 
Back
Top Bottom