kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,863 Reaction score 3,099 Apr 8, 2018 #1 Habari zenu wakuu nilikuwa naomba msaada hivi na novel zangu nimeziweka kwenye PDF ya WPS office sasa nilikuwa nataka google translate inasaidie kutafsiri kitabu chote ndani ya PDF Bila Bila kuangaika kuandika kwenye google translate
Habari zenu wakuu nilikuwa naomba msaada hivi na novel zangu nimeziweka kwenye PDF ya WPS office sasa nilikuwa nataka google translate inasaidie kutafsiri kitabu chote ndani ya PDF Bila Bila kuangaika kuandika kwenye google translate