George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 58
- 42
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya,Mh MASACHE Njelu Kasaka amewashukuru Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Lupa-Chunya Mkoani Mbeya kwa kuendelea kumuamini yeye pamoja na Chama cha Mapinduzi na kumpa ushindi wa kura 5,569 kati ya kura 10,691 halali zilizohesabiwa hapo juzi!
Mh MASACHE amesema kuwa Imani ambayo amepewa na Wajumbe inampa deni na nguvu mpya ya kuwatumikia Wananchi hao pamoja na kumtumikia Mh Rais ,Mama Samia Suluhu Hassan kipindi kijacho!
Mh MASACHE pia amekishukuru Chama chake cha Mapinduzi hasa Vikao vya Chama Wilaya,Mkoa na Taifa kwa kumpendekeza kuwa miongoni mwa Wagombea wa nafasi hiyo kwa kipindi cha pili! Amewashukuru pia wadau wote wa Maendeleo Wilayani humo(DC,DED,DAS na watumishi wote)kwa kumpa ushirikiano wakati wa awamu ya kwanza ya Utumishi wake Jimboni!
Mh MASACHE amewaomba Wananchi wa Jimbo la Lupa-Chunya kujitokeza kwa wingi Octoba 29,2025 kumchagua Mh Rais,Mama Samia Suluhu Hassan ili kukamilisha Miradi ya Maendeleo jimboni humo!
Asanteni Wanachunya!Asanteni Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Lupa,Asanteni Serikali ya Wilayani ya Chunya!
KAZI Iendelee!