Masaburi na Mashaka wa CUF wachuana vikali jimbo la Ubungo

kwa hiyo hapo ni kutumikia wananchi ama maslahi binafsi? wananchi wa ubungo ndio watakao amua nani wa kushika hatamu.
 
Wana Ubungo wametaabika sana miaka mitano chini ya John Mnyika. Sasa ni zamu ya kurejesha heshima ya jimbo hilo
 
Mhe Masabaru anatumia njia za kizamani sana atashindwa vibaya na mhe kubenea
 
Wakazi wa Ubungo watatumia fulsa hiyo vizuri kuchagua kiongozi mwadilifu na mchapakazi.
 
Mchuano umekuwa mkali sana Jimbo la Ubungo kati ya wagombea wawili nafasi ya Ubunge. Mashaka Kangole wa CUF na DIDAS MASABULI- CCM, hata hivo wakazi wa Ubungo wanasema watakuwa makini kufanya maamuzi ya kuchagua Mbunge mwenye sifa stahiki. "Mwaka huu hatufanyi makosa" kauli za baadhi ya wakazi wa Ubungo.

Wewe umeacha kuweka pamba nyuma
 
Japo mchuano n mkali lakin mshindi ni masabuli
Akifuatiwa na mashaka
na kisha kubenea

Niko ubungo hapa
Kwasasa wanaochuana vikali ni masabuli na huyo mashaka wa cuf
 
Wana Ubungo wametaabika sana miaka mitano chini ya John Mnyika. Sasa ni zamu ya kurejesha heshima ya jimbo hilo

...miaka yote iliyopita kabla ya Mnyika wana Ubungo walikua wanakula matunda yapi.?!
hakika kuitetea ccm lazima uwe na akili ya Nzi wale wa kijani wanaosambaza kipindupindu dsm!
 
Ubungo hakuna Ukawa??
Je zile kelele zote za Kubenea ni bure??
Cuf/ Chadema.
Hii hali inakuwaje hii
USIINGILIKE na propaganda hizi mkuu
Kubenea anashinda Ubungo saa 1 asubuhi!Hao alio wataja wakipata hata nusu ya kura za Kubenea niondolewe JF
 
Ukawa kumbe bado wana migogoro hadi Ubungo.

Mkuu hio n tamaa ya madaraka

Tz ina jumla ya majimbo 295
Majimbo 205 yote wamesimamisha chadema peke yao wagombea
Yalitobaki n mchanganyiko lakin bdo chadema wamesimamisha tena wagombea wao

Huo n muungano au wameunganishwa?
Tafakari
 
Back
Top Bottom