Masaada Nokia x2

Masaada Nokia x2

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
Naomba kujua namna ya ku-restore simu yangu na ikiwa kama ilivyotoka kiwandani.asanteni wadau
 
Bonyeza *#7780# kisha weka pin code za simu, kama bado hujazibadilishaga weka 12345 utaona inajirestore.kumbuka kurudisha feedback
 
Back
Top Bottom