Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.

Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.

Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Hakuna wingi wa saa.
Hivyo andika tu .. Saa 24 ndani..........
Hii ndiyo faida mojawapo ya Jf.
Unajifunza kila fani.
 
Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.

Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.

Ni kama vimetumwa kunijaribu.

Mmmmh.... Nao watu wa humu wanatongoza midudu ya ajabu. Wanadanganyika na hiyo picha
 
No kutongoza kawaida , mimi pia natongoza mno pm mkuuπŸ˜…
Nimemuona bonge la Phaller huyo raia, anatafuta attention kwetu halafu anakuja tena anatusagia tena kugeuza nyekundu kuwa njano???🀣🀣🀣
 
Nimemuona bonge la Phaller huyo raia, anatafuta attention kwetu halafu anakuja tena anatusagia tena kugeuza nyekundu kuwa njano???🀣🀣🀣
Unamchukulia kawaida tu halafu ,upendo unabaki mahali pake mkuu😊
 
Unamwonaje huyu mshangazi Mkuu?
Sizani kama anajiamini...
Na yote haya kwa kuwa hana zile T tatu tatu...
Yaani Tako,Titi na Tumbo...

Hivo kiufupi ni local antiel ambaye anataka vijana wamfate serious sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…