Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 607
naona baba Mwanaasha atakuwa anaandaa ile peni yake spesho kwa kusaini kitabu cha maombolezo!
jamani si kaenda Brazilr? ila lazima atawahi kwenda malawi
Sijui wataenda kutoa milioni ngapi kule maana kwa kanumba walitoa m10.....Another opportunity kwa wazee wa misiba...
Yaani kati ya vitu anavyo penda ni pamoja na misiba , safari.....jamaa lazma ahudhurie coz anapenda sana safari
Vipi mkuu mimi sijakusoma kabisa kamanda.....Babu wetu!
Lala kwa AMANI yake Bwana
wetu!