kwa uzuri ni mzuri tuache ushabiki!!!!! na hiyo guest kujenga si ajabu tena mnasema kaguest? huyu mama anaweza kujenga liguest kwa kuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa mbao za umeme ana malori ambayo husafirisha mbao zake kwenda kenya!!! msiwe mnaropoka bila kuchunguza!!!! hiyo ni moja tu ya biashara zake!!!!

mzuri kwako si kwa wengine, kwangu mimi uzuri ni combination ya vitu vingi ambavyo sioni hata kimoja kwenye hiyo sura. Kuhusu biashara zake...amekutuma udisclose deals zake?
lakini ni nani anampa jeuri aliyonayo?nimeona anawachana uvccm,hadi mwenyekiti wa mkoa ambaye ndo bosi wake.na kiutaratibu,inakuwaje mbunge wa tanga viti maalum kuwa katibu wa uvccm mkoa mwingine?sura sio issue manake kila mtu ana yake