MKomela
Member
- Jun 6, 2017
- 27
- 16
Mbunge wa Serengeti Marwa Ryoba amesema ahafahamu kuwa Makinikia ndio sababu ya Tundu Lissu kupigwa Risasi na Mungu anajua hata kama wabunge wengine wakijifanya hawafahamu. Aidha amehoji ziko wapi Bilioni 700 ambazo ziliahidiwa kulipwa na kampuni ya Acacia baada ya mazungumzo yaliyofanyika kutafuta mwafaka wa sakata la Makinikia. Mbunge huyo ameyasema hayo wakati akichangia Wizara wa Madini leo Bungeni.