Tatizo sio visuals mkuu, tatizo story itakapoelekea. Avatar2 inakubalika, hiyo ya 3,4 na 5 ndo ishu itakapokuja huko. Ndani ya miaka 6 ijayo kuna avatar movies 3.
Mkuu labda niulize, source material ya avatar ni ipi?
Haina source material hii , pia hata ya Kwanza mafanikio yake NI kutokana na CGI kuwa nzuri story ya kawaida Saana ,Kama hata hii ya pili,3,4 zitategemea Sana visual zitaibeba washafeli. Avatar vS infinity ?
Tatizo sio visuals mkuu, tatizo story itakapoelekea. Avatar2 inakubalika, hiyo ya 3,4 na 5 ndo ishu itakapokuja huko. Ndani ya miaka 6 ijayo kuna avatar movies 3.
Mkuu labda niulize, source material ya avatar ni ipi?
Mkuu, mpaka sasa wapo wanashoot Avatar 4. 2&3 tayari
Hakuna material source kwa hizi Muvi maybe kitabu au comics. Ni stori na characters tu James Cameron alizitunga.
It's a masterpiece wala usiwajali. Uzuri ni kwamba Ep9 ilikua kama jinsi Jen alivyokua anafanya kwenye comics. Alikua anawafokea waandishi kwamba wanampa stori mbaya, Villains wabaya nk