Alien mpuuzi sana, kuna kitu nashindwa kukielezea ambacho zaidi ndio kimenifanya niipende ile series na uigizaji wa Alien, yaan anaweza akaropoka jambo wengi wasimtilie maanani hadi muhusika mwenyewe ndio ajue, friji lake haligandishi ukimwambia kitu anaropoka hajali kinaweza kuleta madhara gani

Si hana emotions, ndio maana anakuwa vile(though saa hivi ndo kaanza kujifunza mambo ya emotions, anaona kuwa na emotions ni weak trait.), mambo ya consequences hajali, mpaka Asta amwambie.

Ni Kampuni tofauti zinazotengeneza Movie za universes tofauti zilizo katika genres zinazofanana, kiufupi hawa ni competitors though siku hizi there’s no much of any
anyway ichukulie mfano: Azam na Metl( ya MO) hapa TZ... ndio kama hao jamaa