Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,261
Wow!Marc anaugonjwa wa akili, unaitwa dissociative identity disorder. Ilikuwaje akawa nao,
*kutokana na kifo cha mdogo wake, mama yake marc akawa anamlaumu marc kwamba ndio sababu ya mdogo wake kufa. Mama'ke akapunguza mapenzi kwake na akawa anampiga piga kwa sababu ndogo sana.
*Kiafya/tiba zaidi, inafahamika kwamba ubongo wetu unaweza ku-process matukio tofauti sana, ikiwamo ikihitaji kukulinda wewe muhusika mwenyewe, unaweza kupoteza kumbukumbu muhimu sana, au ukatengeneza kumbukumbu mpya ambazo haujawahi kuzipitia kabisa, lakini ubongo wako ukakutaarifu kuwa hizo kumbukumbu mpya ndio uhalisia wenyewe.
*kuna scene inamuonesha marc alikimbilia chumbani baada ya mama yake kuanza kuwa mkali bila sababu, pale chumbani ukutani kulikuwa na jariba limebandikwa, jarida lile ukiliangalia lina picha ya mtu , the jina la huyo mtu ni "Steven Grant", mtu mashuhuri wa kuvumbua mambo ya kale, hasa hasa ya watu wa misri(yaani explorer).
Sasa, ubongo wa marc ukataka kumlinda "mtoto marc" kutokana na manyanyaso aliyokuwa anayapitia kutoka kwa mama yake, ndio hapo ukaunda kumbukumbu mtu (tuseme personality) mpya kabisa ambayo ndio hiyo "steven grant". Bila shaka huyo steven grant(wa kwenye jarida, alikuwa anatokea uingereza na kuongea lafudhi ya uingereza, wakati marc anaongea lafudhi ya kimarekani).
Pia sababu steven grant wa kwenye jarida ni "explorer" wa mambo ya zamani hasa hasa ya watu wa misri, ndo hiyo inamfanya alter ego ya marc spencer(yaani steven grant wa marc spencer) kuwa mjuaji sana wa mambo ya wamisri na hadithi zao za kale..
Kwa hivyo basi, sio kwamba yeye Marc Spencer ndo alimtengeneza Steven Grant kwa hiari yake, hapana, ni ubongo wake katika jitihada za kumuokoa kutokana na kile alichokuwa anapitia kutoka kwa mama yake wakati wa utoto.
Shukrani sana yaan nimeelewa hadi nimeelewa tena,Nilitaka nianze kueleza naona kuna mtu kanisadia but mm nitaelezea upande wa reality
Dissociative Identity Disorder au Multiple Personality Disorder ni ugonjwa wa akili ambao mgonjwa ana personality zaidi ya moja. Mara nyingi mtu mwenye tatizo hili hua anasumbulia na upotezaji wa kumbukumbu. Mtu anaweza kua na jina na characteristics fulani lakini pia Identity yake nyingine inakua na jina na sifa zake. So kama personality fulani ikiwa On basi ile nyingine inapoteza kumbukumbu. Ikirudi inashangaa imefika vipi hapa alipo.
Tafiti zinasema kua karibia 2% ya wagonjwa wa akili wanakua wana tatizo hili na halina tiba. Mara nyingi humtokea mtu aliyekua abused utotoni
Kwa kuelewa zaidi Tafuta muvi inaitwa Glass ya 2019 kacheza James Mcavoy utajifunza zaidi
Jack lockley ..personality ya Marc nyengine ambayo yeye haijui kama anayo ndio maana khonshu pale mwishoni alisema Marc hajui hana idea kama yeye ni troubled guyShukrani sana yaan nimeelewa hadi nimeelewa tena,
Sasa Konshu kapata swahiba mwingine je yule nae katengenezwa na nani au ndio tusubiri episode ijayo.
Ni nzuri wala hautakuwa disappointedN
Ndio maana nimekataa kutumia YouTube hii week hata nikikuta final trailer siangaliii maana hizo final trailers haziishi.
Movie ikiwa mbaya Marvel watakuwa wamenivunja moyo degree ya kuvunjwa moyo kimapenzi
Wait, whaaaaat!Jack lockley ..personality ya Marc nyengine ambayo yeye haijui kama anayo ndio maana khonshu pale mwishoni alisema Marc hajui hana idea kama yeye ni troubled guy
Kuna clip Marc Ana kuwa block out anajikuta kasababisha mauji bila ya yeye kufanya hivyo na Steve akijua ni Marc kafanya hivyo mfano episode ya 4
Na episode ya 6 pale alivyomdhibiti harrow both Marc na Steve hawajui kinachoendelea
Inasemekana jamaa ni ruthless ,sadist hatari that's why Marc na Steve walivyokataa kumuua harrow khonshu akamua amtumie
Kwakuwa ile ndio season ya mwisho labda tutamuona kwenye future films in marvel Kama ata act kama cameo au Kama wata develop filamu yake
Ndio season imeisha pale ndio mwishoWait, whaaaaat!
Season one ndio imeisha kwa episodes 6 [emoji15]
Wait, whaaaaat!
Season one ndio imeisha kwa episodes 6 [emoji15]
Nimemaliza leo kuiangalia moon knight. Nina shauku ya kumjua 3rd personality ya Marc na Steven with (v) ni nani jina lake. Ila anaonekana ni katili kuliko Marc. Shout-out kwa steve ameimprove sana kwa upande wa mapigano👏👏
[emoji3][emoji3]View attachment 2215645
I bet hauna marafiki wengi😅My Marvelous Collection.😍😍
It's the only thing that makes me hope and gives me a will to live.
Life is meaningless without Marvel Studios and my mom& sisters
View attachment 2215928
View attachment 2215952
Spoiler Alert 🚨Jana niangalia hii doctor strange in the multiverse of madness' sio kali sana labda 7/10. Kifo cha scarlet witch, sema nimekua surprised doctor strange ametokewa na jicho lingine sasa ivi ana macho matatu usoni hawa watu watakuja kutuua
Da'Vinci mkuu naomba nieleze kidogo kwanza me nilikuwa mtu ambaye sifatilii sana movie za super hero sanasana Sasa kuna kitu kinanitatza hiv ilikuwaje Capt America akaweza kuitumia nyundo ya Thor kwenye Avengers endgame wakati ukiangalia hata Hulk ilimshindwa je kuna mechanism gani apo?
Da'Vinci mkuu naomba nieleze kidogo kwanza me nilikuwa mtu ambaye sifatilii sana movie za super hero sanasana Sasa kuna kitu kinanitatza hiv ilikuwaje Capt America akaweza kuitumia nyundo ya Thor kwenye Avengers endgame wakati ukiangalia hata Hulk ilimshindwa je kuna mechanism gani apo?
Jorge WIP MrConveter shukran sana wakuu but pia naona kama Capt America ndo kama vile kiongozi kwenye Avengers au nipo wrong?