Kuna kitu kinaitwa character development, na hii haipo tuu kweny personality ya character hata weapons and costumes anazo wear character wako, they're starting a new project, a new line of superman movies, so why umpe character wako costume ambayo huwez ifanyia any further developments, that was done purposefully ili kum-portray superman ambaye bado haja mature, bado yupo kweny his early days, and I think this is a great move by James Gunn, sio tuu chupi kiujumla hio custome ni mbaya, but I don't care because najua when producing a movie everything is done for a purpose.
Inua dcu ya Gunn ilipata YouTube view 243 million ndani ya wiki na siku kumi zilizopita Gunn aliachia sneak peak imepata views 10 million ndani ya ten days watu wameikubali Gunn ni perfectionist ameichukua kwenye comic book na ameadapt . japo Snyder fans wanaiponda. Suit na chupi ni mbovu afu jamaa Hana misuli ,villain ni huyo mdada mwenyew black suit the engineer na Ultraman na lex luthor naingoja hatari
Character ni mzuri story mzuri ila suti ya villain ni mbovu na actions ni mediocre labda ni kwa sababu ya budget ndogo 104 USD dollar imepata 134usd milion tomatometer ni 77 percent na ni positive responses