Marvel wamejitengeneza brand mtu akiona ile logo anajua avanger Sasa DC Kila siku wanaenda mwendo wa mlevi Mara mia wangepiga pause ya miaka hata mitano then waje upya ila tatizo wanafanya catch up game na marvel ,hata kuannounce chapter 1 ilikuwa NI mistake + elseworld project

Hivi kwann lazima watengeneze fe,male version ya already existing male characters??? Kwanini kama wnaataka female superhero wasitengeneze mpya na story mpya kama wonder woman?
Sio mara female deadpool, Batgirl, superwoman, Nk.