tumeambiwa tusiweke tena tinted kwende ndinga zetu mbona hatusikii ?kwani mnaficha nini ?au mnataka nani asiwaone ?au mnabeba dhambi gani ?mkuu wa kaya keshasema tinted marufuku !!!mbona hamuachi ?au kwakuwa akiongea anachekacheka ?
Halafu pia anawafahamu majangili hatari 40 na kiongozi wao yuko Arusha imagine head of state anautangazia hivyo ulimwengu !!pity kawachukulia hatua gani sasa ???so so so sad that's why I hate politikkuna mangapi makubwa kashindwa kuyakemea mpaka apambane na vioo vya magari na yeye bana??
nchi sasa ina kesi nzito za madawa ya kulevya, majina kasema anayo, sasa mbona hatuoni wakienda kisutu??
elimu yetu ni mbovu sana, division zero ni zaidi ya 50% ya wanafunzi wote, kafanya nini huyu rais bana??
katiba sasa haieleweki, zanzibar ndio ileee inamegeka, yeye hasemi kitu cha msingi tusikie..
waalimu wetu kila leo wanalia na mishahara, yeye anachosema ..''hata mkigoma miaka 8, kama tatizo ni laki tatu na 20, mshahara huo haupo''... imagine mchumi kutoka UDSM anasema kauli kama hiyo!!
aisee aachane na vioo, SUMATRA itashughulikia hilo tatizo!
kweli serekali imekosa kazi inaacha kupambana na mambo ya msingi kama kupambana na ujangili wa meno ya tembo eti raisi anafatilia tinted...hivi inaingia akilini????tumeambiwa tusiweke tena tinted kwende ndinga zetu mbona hatusikii ?kwani mnaficha nini ?au mnataka nani asiwaone ?au mnabeba dhambi gani ?mkuu wa kaya keshasema tinted marufuku !!!mbona hamuachi ?au kwakuwa akiongea anachekacheka ?
Hivi ukiweka laptop kwenye siti ya nyuma kama huna tintend pale mlimani city wataacha gari lako salama kweli? siungi mkono hoja japo wengine wamegeuza magari guest house watajua wenyewe na Mungu wao