Marufuku mabango ya waganga wa Kienyeji

Marufuku mabango ya waganga wa Kienyeji

Na tuanze na mganga maarufu humu JF anayeenda kwa jina la Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Wao wenyewe mawaziri usiku kucha wapo kwa haohao waganga wa jadi wakidai wanapaka sabuni na mafuta nyota zao,
 
Wagambo wajiji kutolewa mabusha hivi karibuni kama watatumika kuyatoa matangazo ya waganga wa kienyeji
 
viongozi wetu wenyewe ni washirikina hawatafanya kitu au mmesahau enzi ya kikombe cha babu!? so walitangulia mbele.
 

Attachments

  • 1401907510069.jpg
    1401907510069.jpg
    101.5 KB · Views: 112
Wakitekeleza itakuwa vizuri...Arachuga tumeshazoea mabango ya Manyuki na rangi zake za ku shout. ...
 
Basi na cc hatutaki swaga za wabunge kilakukicha hakuna wanacho kfanya
 
CHAMA Cha Matabibu wa Tiba Asili nchini (ATME). Kimesema kuendelea kuwepo kwa mabango ya waganga wa kienyeji wanaopaswa kulaumiwa ni Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Kushindwa kuchukua hatua.

Akizungumza na Tanzania Daima Jana Jijini Dar, Mratibu wa Chama hicho Taifa Boniventure Mwalongo, alisema wizara hizi zinapaswa kulaumiwa kwa kuwa tangu kulipotolewa tamko la Uondoaji wa mabango hayo hakuna kilichofanyika.

''Kifungu cha 23 tiba asili kimeweka wazi watu wanaoweka matangazo ya kutibu kuchukuliwa sheria, lakini haifanyi hivyo, na tulitegemea baada ya tamko bungeni tungekaa pamoja na wizara husika tukajua tunashirikianaje katika kulitekeleza hili, lakini mpaka leo kimya'' alisema.

Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Nsachris Mwamaja, alisema waliyonayo ni kutengeneza miongozo na sheria, na usimamiaji unashuka katika ngazi za halmashauri.

Source; Tanzania Daima.
 
Mabango ya waganga wa kienyeji yamekuwa kero sana!!
 
kuna siku nkiwa na mtoto wa sista wangu anaesoma darasa la kwanza kwa ile hamu ya kujua kusoma. Basi njian akasoma tangazo la nguvu za kiume;
akaniuliza uncle hivi NGUVU ZA KIUME ndio ugonjwa gani mbona njiani naona matangazo mengi sana.!??
imagine ungemjbu vp.
 
kuna siku nkiwa na mtoto wa sista wangu anaesoma darasa la kwanza kwa ile hamu ya kujua kusoma. Basi njian akasoma tangazo la nguvu za kiume;
akaniuliza uncle hivi NGUVU ZA KIUME ndio ugonjwa gani mbona njiani naona matangazo mengi sana.!??
imagine ungemjbu vp.

Awe na subira kidogo, akikua atafahamu!
 
Serekali ilipiga marufuku matangazo yote ya waganga wa kienyeji mijini lakini hili liko katikati ya jiji la Mwanza
 

Attachments

  • IMG_20140819_184026_0.jpg
    IMG_20140819_184026_0.jpg
    173.9 KB · Views: 273
ka nyosha mkono huyo kwenye bahasa ndo maana wanaonekana kama hawalioni kumbe fungu kapewa mkuu, nyamaza baba siku ziende!!!
 
Ulishaona nchi hii kuna jambo linaanzishwa mwanzo hadi mwisho?
 
Tumefika hapa kwa sababu ya serikali dhaifu ya CCM, wabunge dhaifu ya CCM na raisi dhaifu wa CCM.

J.J.Mnyika.
 
Back
Top Bottom