marufuku kutokwa povu

Hahahaha hapa watatoa povu la beer huku halifulii nguo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi bado kuna Jamii/Genge la Watu wa aina hii....!!

Mpaka leo/sasa bado wanasahau pesa zao katika MIFUKO ya Suruali..!!?

Saluti kwao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Complex no, let me try to comment a bit, she has to ask her husband politely, apart from me do you sex outside?? If he replies no, then continue I find condoms in your pocket. Then observe silence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Complex no, let me try to comment a bit, she has to ask her husband politely, apart from me do you sex outside?? If he replies no, then continue I find condoms in your pocket. Then observe silence.

Sent using Jamii Forums mobile app
oooh! no no no my cute, i really can't do that. you know what! my boss expects to meet his ex tomorrow he then asked me to fetch him one just for his protection. I love you and it won't happen!
 
Kwa mwanaume utajiskiaje Siku unasafiri half njiani ukafungua begi lako ukakutana na condom
Na hilo begi alikupangia nguo mkeo


Sent from Calculator Phone vesion007
 
Na ukikuta kwenye pochi yake mwanamke je? Mwanaume utakaa kimya na kushukuru Mungu?
Nikiijuta ktk pichi ya mke nitampatia nafasi aende akajinafasi zaidi na kitu kipya alichokipata. Vitabu vya Mungu hakuna mahali hata kwa bahati mbaya vimehalalisha mwanamke 1 kumiliki waume zaidi ya mmoja. Zingatia mwanaume anatoa talaka hapewi talaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuki mtamu jwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.

Mwanamke akikuta kwako pia anaweza kudai talaka vile vile, kitabu changu cha dini chaniambia mume mmoja na mke mmoja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…