Marufuku kupiga push up siku ya Uchaguzi

Marufuku kupiga push up siku ya Uchaguzi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Kwa Mujibu wa Sheria na Kanuni za Maadili Hutakiwi kufanya kampeni siku ya uchaguzi

nina wasiwasi ukupiga push up siku ya uchaguzi tena iwapo itakua ni karibu na kituo cha kupigia kura ni kama utaonekana unaashiria/unampigia debe/kampeni mgombea fulani
 
Back
Top Bottom