fungeni ndoa ya serikaliWana Jf, poleni kwa majukumu! Najitokeza kwa mara ya kwanza kuomba ushauri!
Nina mpenzi kwa miaka 4 hivi na tuna pendana sana. Kwa muda wote huu tulikuwa boy friend na girl friend. Mwez uliopita (september) bint alipata Ujauzito. Kimsing tulifurah sana. Niliamua kutuma wazaz wangu wapeleke posa. Jambo la kushangaza POSA ILIKATALIWA KWA KUWA MIMI NA HUYU BINT TUNASALI MADHEHEBU TOFAUTI. Yeye ni MSABATO NA MIMI NI MLUTHERI. Wazazi wake hawataki kusikia lolote kuhusu ndoa japo wanajua binti yao ni MJAMZITO. Bint ananipenda na mimi nampenda pia. NAOMBENI USHAURI WADAU.
kama wote mwamini Mungu kupitia yesu kristo na wao wanakataa hiyo posa basi nyie endeleeni namaisha ipo siku watawaelewa
Mkuu upo Sahihi kabisa, imani ni hiari. Swali je wewe na mchumba wako mnachukuliaje utofauti wa madhehebu yenu?Asante ndugu, ila dini siwezi kubadili coz ninasali kwa mungu sio kwa dhehebu. Asante kwa ushauri.
What do you read as reference kama si biblia na hiyo biblia ndio hutumiwa na wasabato na hiyo bible ndio huendelea kutumiwa milele na milele
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Swala sio kusali tu kumbuka Mnaanza kwa Dhambi ya uzinzi, pia imesndikwa "Remember the Sabbath to keep it Holy"
Ushauri kubali kutubu Dhambi kisha mtafute Mungu nahisi hy ndoa itakuwpo iwapo utakuwa msabato

I don't think so.Tatizo ni kila moja hapo wanaamini tofauti kuanzia amri ya nne ambayo ni kuhusu siku ya kuabudu.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
fungeni ndoa ya serikali
I don't think so.
Kufanya mapenzi na kupeana mimba kabla ya ndoa haviko kwenye imani yoyote ya kikristo iwe ya kilutheri wala kisabato.
Hapa kuna Background za Imani za kidhehebu za wazazi wao tu, lakini wachumba wenyewe wako kivingine kabisa.
Hivyo toa ushauri wa namna wanaweza kufanikisha ndoa yao tena kwa ubora.
Mkuu why are you complicating this thing?Swala sio kusali tu kumbuka Mnaanza kwa Dhambi ya uzinzi, pia imesndikwa "Remember the Sabbath to keep it Holy"
Ushauri kubali kutubu Dhambi kisha mtafute Mungu nahisi hy ndoa itakuwpo iwapo utakuwa msabato
I don't think so.
Kufanya mapenzi na kupeana mimba kabla ya ndoa haviko kwenye imani yoyote ya kikristo iwe ya kilutheri wala kisabato.
Hapa kuna Background za Imani za kidhehebu za wazazi wao tu, lakini wachumba wenyewe wako kivingine kabisa.
Hivyo toa ushauri wa namna wanaweza kufanikisha ndoa yao tena kwa ubora.
Mkuu inaonekana unajua sana mambo ya kiimani.Yesu aliwaambia msioe wasio amini akiwa na maana msioe wala kuolewa na wasio wa imani sawa na nyie maana watawafanya mpotee kiimani.Pia alisema sikuja kulitangua torati wala unabii bali kulitimiliza.......dunia itapita ila hata neno moja halitatolewa kwenye biblia....akatoa na ole kwa yule sbadilishae au aondoae neno kwenye biblia ......
Ukitaka kufahamu zaidi soma kitabu kimeandikwa Counsels for the Church chapter 19 huongelea kuto oa unbelievers
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Sio kwamba najua ila tunajaribu sema ukweli uliopo.Mkuu inaonekana unajua sana mambo ya kiimani.
Embu tusaidie fumbo hili, kati ya hawa wawili nani ni mwamini na nani si mwamini?
Au yupi ni msabato kwa sasa?
Udini ni ki2 kibaya sana. After all suala la uzinzi mimi sio wakwanza kuzini! Daudi pia alizini. Na hata wewe umesha zini. CHAMSING NI TOBA YA KWELI MBELE YA MUNGU, NA SIO MBELE YA KANISA.