Marufuku kukaa karibu na vituo vya kupiga Kura, inatakiwa kukaa umbali wa mita 100

Wananchi wanataka kukaa karibu na vituo vya kupigia kura ili wasubirie kubandikwa kwa matokeo, lakini hii tume imebadili ukweli huo sasa inasema ni uvunjifu wa sheria.

Halafu kusubiria matokeo yabandikwe ilikuwa ni mita mia sasa tume hii inasema ni mita mia mbili, hivi nani anayetaka kuvunja amani ni tume au wananchi.
 
Ww chochea tu walishe sumu vijana Wakubali kukaa karibu na kituo cha kura, lkn watakaoumia ni mm na ww lkn sio Lowasa wala Magufuri wao nyumba zao zitakua na ulinzi mkali.
 
Ww chochea tu walishe sumu vijana Wakubali kukaa karibu na kituo cha kura, lkn watakaoumia ni mm na ww lkn sio Lowasa wala Magufuri wao nyumba zao zitakua na ulinzi mkali.

Yaani nyerere angekuwa ana akili kama zako sasa hivi Tanzania tungekuwa tunatawaliwa na nduli IDD amini Dada.
 
tume imeshatathmini kuwa watanzania ni wajinga ndio maana wamepunguza vituo vya kura baada ya juma duni kuongea kama tungebakia tumelala ingekuwaje,tume inafanya kazi kwa niaba ya serikali ya ccm,hii sio tume huru
 
Haya ndugu yangu wacha tuone kitatokea nini bado tar25 ili tuendelee na maisha, lkn kumbuka huu ndio ulikua mwaka wetu wapinzani kuchukua nchi kwa jinsi viongozi walivyokua wanajitolea muhanga kwa kuikosoa serikali, baadhi yao waleta tamaa mbele mauti nyuma,kwa kweli tumepoteza dira, pale tu tulipomkaribisha Lowasa sikulazimishi kukubali hilo lkn nitakutafuta baada ya uchaguzi.
 
Wako wapi mbowe,mdee nassari,mnyika kwa kweli hawa niliwakubali sana na nilkua nawafatilia sana hutuba zao walipokua bungeni, na hassa pale walipokua wanamponda Lowasa na ile kashfa ufisadi lkn sasa wamezibwa midomo wanaongea kwa kuvizia nawapa pole sana, najiuliza hawa watu wapo? Kwa kweli sipati jibu,lkn kumbuka tamaa mbele mauti nyuma mmeona mmepata kumbe mmepatikana, BigUp Dr Slaa,mpenda maendelea na mtaka mabadiliko ya kweli.
 
eti nitakutafuta baada ya uchaguzi, hivi unadhani mimi naweza kukaa na ccm? , yaani ni afadhali nikae na nyoka aina ya swila, kifutu, au aina zingine zote za kobra lakini sio kukaa na liccm kama wewe.
 
Wako wapi mbowe,mdee nassari,mnyika kwa kweli hawa niliwakubali sana na nilkua nawafatilia sana hutuba zao walipokua bungeni, na hassa pale walipokua wanamponda Lowasa na ile kashfa ufisadi lkn sasa wamezibwa midomo wanaongea kwa kuvizia nawapa pole sana, najiuliza hawa watu wapo? Kwa kweli sipati jibu,lkn kumbuka tamaa mbele mauti nyuma mmeona mmepata kumbe mmepatikana, BigUp Dr Slaa,mpenda maendelea na mtaka mabadiliko ya kweli.
Ma ccm bana yaani yanapenda kubadili ukweli, mimi nasema kusubiria matokeo yabandikwe kwenye vituo ni kosa yeye kahamia kwa Dr. Slaaa yaani sijui yakoje haya majitu.
 
Tutatumia drone kulinda kura zetu kuanzia zinapo safirishwa kutoka kituo a mpka cha mwisho nao waseme zikae mita mia
 
Hivi ukawa haina wasimamizi ndani ya vituo vya kura au hamuaminiani?
Swala hapa sio UKAWA kutokua na wasimamizi/wakala, ishu hapa ni kwa nn NEC wanavunja sheria inayoruhusu watu kukaa umbali wa mita mia, wana ajenda gani mpaka washinikize hii sheria kuvunjwa?? Na kwa maslahi ya nani???
 
Hivi watu wote wakikaa kusubiri kura zao maisha yatakuwaje.....ujinga wa mnyika wenu akakae mwenyewe....mnasahau kuwa kuna sheria inazuia mikusanyiko isiyoruhusiwa kisheria..mkionekana kama kikundi mnapigwa

Nyie ccm, mnahangaika na Ukawa kwa nini? kama ukawa wanalinda kura zao si muwa ache.Pigeni kura muondoke zenu ili kama kuna vurugu wapigane wao wenyewe, nyie hamtakuwepo.
 
Siasa Za Mihemko Na Ushabiki Zinaposhikilia Bongo Zetu Ni Tatizo Kubwa Kwa Nchi.Kila Kitu Tutachukulia Kisiasa Zaidi Kuliko Kiuhalisia.
 
Jambo hili linafanywa makusudi ili kuwap uhuru wanachama wa chama tawala kuwanunua mawakal wa upinzani kwani kuwepo kwa wananchi kutawanyima uhuru fisiem
 
TUME YA UCHAGUZI,

Naomba maelekezo, nikipiga kura niende wapi? Milango na Madirisha ya nyumba yangu vinatazamana na kituo cha kupigia kura kiasi cha umbali wa mita 50 hivi..Nikipiga kura nikae nyumbani kwangu au niondoke? Na nimezoea jioni kukaa nje nikibarizi upepo mzuri na kucheza bao na majirani zangu. Nauliza tena, NIKIPIGA KURA NIRUDI NYUMBANI KWANGU? au niende wapi? Na je nikitaka kukaa nje na wenzangu jee, nitaruhusiwa? Hapa ni nyumbani kwangu mjue....!?

Wak'tabahu!
 
Back
Top Bottom