Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,042
- 2,414
Hapo ndo shida nnapo anza iona... Mh. Kinana akiwa mwanza anapinga watu kubaki na IGP anasema wakibaki jeshi litatumia nguvu zidi yao, ila sheria inasema wakiwa mita 100 ni sawa.... sasa what is the way foward.... mi nataka nisubiri matokeo tu tena mita 100.... wakinikamata watanifungulia charges gani??? Je tamko hili liko juu ya sheria??? Au labda mwandishi alivo iweka hii mada hakumwelewa IGP maana kama ni hivo IGP anavunja sheria kitu ambacho sitegemei afanye kwa issue ya hatari kama hii....Mkuu Kwa mazingira ya uchaguzi huu, hilonla kurudi jioni itakua ni goli la mkono..unajua chama kimeshikwa pabaya. Halafu ndio maana mimi nasemaga mara nyingi polisi ndio chanzo cha vurugu. Sasa badala ya kujipanga kuweka ulinzi wa kutosha kuwalinda hao wananchilli watakao baki kwenye huo umbali unaoruhusiwa kisheria, wao wanazuia. Ni wazi kabisa hapo lazma kutakua na fujo maana watu hawatakubali.