Marufuku CD za Rogo, Uamsho na Ilunga

Status
Not open for further replies.
Yote tufanya lakini tujue muumba wetu sote ni mungu na kiuhakika kwa madheebu yote, kuua mwenzako au kuaribu mali za mwenzako ni dhambi isiyosameheka, nanukuu: "na ninawaumba kwa mfano wangu". kumbe ninapomuua mwenzangu nimeua mfano wa mungu. TUJIADHARI SANA"
 
Hapo umesema kweli kabisa,tungepata watu kama nyie mkaendelea kuwaelimisha hawa wenzetu nina imani kuna siku wangefunguka macho.
 

Mh. Dr. Ally Mohamed Shein, Karibu sana kuiongoza Tanzania mwaka 2015. I Salute YOU and Thanks kwa kuchukua HATUA HIYO.
 
mi sometime huwa nabaki nacheka tu hizo mada zao mfu

Ukichanganya malalamiko ya uongo na ukweli mwisho unawachanganya wasikilizaji. Miruzi mingi humpoteza mbwa.

Daima Upotoshaji hufyonza ukweli. Hata kama kuna malalamiko ya kweli dhidi ya uislamu wenye akili zao watachanganya uongo na ukweli na kuweka kwenye kapu moja la uongo.

Hebu ona hili la Aboud jumbe huu ni uchochezi tu wa kuwarubuni watoto wa kiislamu ili kufikia malengo ya kututenganisha????? Ukute watoto hao hawana taarifa za kutosha juu ya suala hilo ni kwa nini waache kuamini!!!!!!! Ni kwa nini wasikubali kuwa kuna mfumno kristo!!!
 

Ni HERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI
 
Wanaweza kuwazuia wasitizame kanda ila hawawezi kuwabadilisha mitazamo na misimamo yao...
 

Niliona na kusikia hiyo ya watoto wa Tunisia kutoroka wazazi wao kwenda Syria kuungana na waasi dhidi ya Rais wa Syria wakidai wanakwenda kupigania JIHAD ........ nadhani waasi ni Suni na Serikalini ni Shia.

mama wa mtoto mmoja aliyetoloka alikuwa analia kwa uchungu akisema kwamba baada ya mume wake kufa ndiye mtoto pekee waliekuwa wanamtegemea kwenye familia na akawa na wasiwasi kwamba anaweza kuwekwa kwenye orodha ya magaidi kisha kufungulia mashitaka au kuuwawa.
 
Tumezoea waislam wakitetea maslah yao huitwa magaidi wachochezi na majina mengi mabaya lkn kuzuia cd ni sawa na kuzuia jua kwa ungo kwani ukweli uko wazi madai ya wazanzibar ni ya kweli na haki yao wao kutetea maslah yao lkn tunasema kila siku serikali iliyo kuwepo inaöngozwa na mfumo kristo mbona km wanataka kuzuia uchochezi ile cd ya jiwe jeusi ya kwaya hawaja ifungia
 
naona kama umeenda na wamechelewa kwani wengi wameteketea kwasababu ya wajinga wachache rip.vipi upande wa bara jamani jakaya watu wanakwisha kwa sababu ya dini.
 

hata BOKO HARAM Wametamba tangu mwaka 2009 kwani serikali ya Nigeria imejitahidi kuzungumza nao ili kufikia mwafaka jamaa hawataki sasa imeamua kupelekea jeshi lote uwanja wa mapambano.

kitakachofuata nchi za magharibi na baadhi nchi za kiarabu wataunga mkono uamuzi wa serikali ya Nigeria na kutoa misaada ya kuwatokomeza BOKO HARAM. Tunatengeneza Syria na Libya ingine.

Tatizo la makundi yenye siasa kali yanachukuwa na nchi za kiarabu jambo ambalo linatoa mwanya kwa nchi za kigeni kuingilia mambo ya ndani ya nchi hizo. nani alitegemea Saudi Arabia, marekani na Qatar wangepeleka msaada ukiwemo wa silaha kwa waasi wa Syria ili kumng'oa Asaad ambaye kwa muda mrefu ni hasimu mkuu wa nchi za magharibi na baadhi za kiarabu kama Uturuki na Jordan.
 

CD ya Jiwe jeusi inasemaje wengine hatuaiona?
 
umetoka ktk hoja ,,,,,,,,,,,,
mm cjaziangalia Hz CD lkn nahic hy c dawa kwn ht z ngono haziruhusiwi n bado zinauzwa ,,,,,
kitendo cha kupiga marufuku wkt zimezagaa n sawa n kuwaridhisha wanaolalamika n c tiba muwafaka y ugonjwa ,,,,,,,,,
suala la Syria huliewi ASAD alipingwa n wananchi w dini zote n jumuiya za kimataifa ikiwemo UN, ArAB league nk lkn rais dictator akaomba msaada kw mashia w Iran n HEZBULLAH mashia kitu kilicho badili mapambano kuwa y kimakundi kw maslahi y Israel
kuhusu neno kafir ucliogope wala lickuvunje nguvu ht catholic waliwaita wnzao protestant kabla y hao kn Sheikh Ilunga ,,,,,,,
 
... hata wakizipiga marufuku hawa wajinga wachache hayo mafundisho yameisha wakaa vichwani na nivigumu kuyafuta maana huo ndo uwezo wao na asiri yao, ndiyo haya matokeo tunayo yaona sasa, hapa Serikali ilishachelewa
Una maana jamaa ni wajinga? Hebu nifafanulie.
 
mimi nlisikia moja inayosema eti kodi ya vat ni michango inayochangishwa na serikali kwa ajili ya kusaidia vatican. Kweli kazi ipo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…