deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 529
Habari hivi karibuni Mahakama ilitengua matokeo ya uchaguzi huko Malawi, sijajua nini kinaendelea huko kwani kimya mno, anayejua alete habari za huko natamani nifahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app