Leta takwimuInakuwaje marubani wetu wanaanguka sana na ndege wakiwa ktk mazoez eeh?
Ukiacha hao askari wa jana,wengine ni kina nani?
Ndege ya jeshi ilianguka maeneo ya kabuku ikiwa ktk majaribio,ndege nyingine dsm ikiwa inaenda okoa mili ya watu ktk mafuriko ,kova alikuwa ndani meck saidik, mwataka takwimu gani sasa au vichwa vya panzi