Martin Niemoller na Watanzania leo....

Martin Niemoller na Watanzania leo....

Walimu wa art SubjectsvKusitishiwa ajira .....Aaaah Hyo hayanihusu....tena wakalime kuna mvua Kumbe Mamaako anayekusomesha ni Mwl na hana hata kiwanja...
 
Naona Magufuli kaamua kuvaa viatu vya Fuhrer,

Msijesema hamkuambiwa maana Lisu alisema

''Wakimalizana na sisi wanasiasa, watawageukia waandishi wa habari.

Ngoja nisome biography za madikteta ili nami niweze ku-predict future.
 
Shida ni kuwa hatutaguswa wote kwa mara moja
kila kundi litaguswa kwa wakati wake
siku wakiguswa wana CCM...wengine wako hoi hapo
Labda tutafute namna ya kuguswa wrote. Otherwise tutaendelea kupumbazwa na ule msemo wa 'kutesa kwa zamu' au aliye juu mngoje chini.
 
Mkuu umenena na ndio ukweli wa mambo kwa sasa, tupaze sauti zetu kwa umoja ktk kuzuia na kupinga haya.
 
Labda tutafute namna ya kuguswa wrote. Otherwise tutaendelea kupumbazwa na ule msemo wa 'kutesa kwa zamu' au aliye juu mngoje chini.

Ndo tutafika siku hakuna wa kukusemea
 
Hii ni quote maarufu sana ya Martin Niemoller...naona wana JF na watanzania kwa ujumla
inafanana hasa na hali halisi ya kwetu..


First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist
Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist
Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist
Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew
Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me -




Martin Niemoller alikuwa Ujerumani wakati wa Hitler wakati ambako hayo mambo yanatokea...

walianza 'kushughulikiwa' kundo moja moja.....bila kuagalia sheria na haki...


Hapa kwetu unaweza sema 'waliponyooshwa watumishi wa serikali'
hakuna nyongeza wala kusikilizwa na kufukuzwa tu...

wengine labda mlisema 'aah wamezidi hao' kwanza mimi sio
mtumishi wa umma...

wakaja vyama vya siasa na siasa marufuku.....aah hainuhusu..

wanafunzi na mikopo......aah hainihusu

wafanyabiashara na kodi kupandishwa holela...
aah hainihusu.......

Lema........ahhh hainihusu
Be Saanane ahhh shauri yake
Max.......aah nao JF wamezidi hainihusu..




Zamu yako itafika....hakuna wa kukutetea....wote tutakuwa busy na kesi
zetu au za ndugu zetu..............

Martin Niemoller.....alishasema siku nyingi...tuifunze
Well said
 
Back
Top Bottom