Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Kwa heshima yako Mshana ya siku nyingi kwenye jukwaa huu utoto wala hauna maana
nadhani huyu betina ndiye spika wa hovyo kuwahi kutokea TanganyikaView attachment 3434985
RANGO!
You hate death wapi weweeee.. watu wengi wanatekwa na kupotezwa kila uchwao, huumizwi. Mzee Kibao alitekwa na kuuwawa, hukusikitika. Uliishia kukejeli.
You hate death wakati ulizuia hoja ya utekaji kujadiliwa? Mdude ambaye alitekwa jimbo kwako, hujawahi hata kutoa pole. Unaumizwa na vifo vya watawala.
27.08.2024 ulipiga marufuku mjadala wa utekaji - hoja ambayo iliwasilishwa kwa dharura. Ulisema utekaji haiwezi kuwa hoja ya dharura kujadiliwa. Loh!
You hate death wakati huo unasema hakuna utekaji isipokuwa kuna matukio ya watu kutoonekana? Watu hawaonekani kwamba wanakwenda wapi?
Nduguyo anaamka anakwenda katika mapambano ya maisha, unaambiwa alipotea. Unangoja siku, wiki, miezi na hata miaka... Ni bora angekufa ukamzika.
Mamlaka zinajibu kwa kiburi. Spika anayeongoza baraza la uwakilishi wananchi anazuia wabunge wa mbogamboga wasijadili hoja muhimu ya utekaji.
19.09.2019 ukiwa na mbogamboga wenzako mlishiriki igizo la kuizika CHADEMA. Ulibeba jeneza lenye bendera ya CHADEMA na msalaba ukiwakejeli.
Hilo lilikuwa tusi kwa wakristo wanaotumia msalaba katika imani zao. Kwa kiburi tu, hukuwahi kuomba radhi popote pamoja na kwamba wakristo walilalamika.
Unachukia kifo? Unachukia vifo vya viongozi na watawala. Au ndiyo ndiyo tafsiri ya “maiti inatisha ikiwa inatoka ndani ya mlango wa nyumbani kwenu”.
RANGO, you don't hate death. You probably fear death. A fear of death is a sign that you fear your existence will be meaningless. Death absolutely terrifying.
View attachment 3434986
Umeandika au umeandikiwa?Spika Tulia Ackson ilikuwa ni haki yake kutoa hisia kama hizo.
Alikuwa naibu spika wakati Job Ndugai alikuwa Spika kamili.
Tulia Ackson huenda,nasema huenda anakumbuka mengi kutoka Kwa mtangulizi wake ambayo hatoyasema wala kuandika popote.ushauri,kiongozi,maamuzi na kuzingatia itifaki Kwa kiongozi mkubwa kama naibu spika au spika kamili
Tulia Ackson pamoja na madhaifu yake (kama yapo) ni binadamu kama binadamu wengine,anaguswa na hafurahii mengi yanayoendelea,lakini bahati mbaya yupo katika nafasi ya juu tena kwenye muhimili mkuu kama bunge.
Sehemu ambapo hupaswi kutoa matamko Kihisia bali lazima ushirikishe timu, cabinet na watu mbalimbali ili kuchuja nini kizungumzwe kwenye umma.
Martin Maranja Masese ni wa kupuuzwa pamoja na kuwa anafahamika Kwa uwazi lakini ni kijana mropokaji,hafai hata kuwa kiongozi,asiwaige kina Lema ambao ni kama wamekata tamaa na hatima Yao ya kisiasa.
Martin hafai kuwa kiongozi mahali popote ni mtu asiyezingatia miiko,Siri na hata kutoa taarifa ambazo hana uhakika nazo na watu kama Martin wapo wengi hata hapa Jamii Africa,wao mtu yeyote akiwa CCM ni adui kwao.haijalishi atasema vibaya au vizuri .
Martin najua hata uliyoahidiwa na Mbowe hatatatimia kwakuwa hampo tena chadema,hamia chauma basi, James, Yeriko wapo huko
Na hata hapa Jamii Africa wapo wengi tu Ni watu wasiojua kuchambua mambo wao kila mtu ambaye ni trash pale CCM kwao ni Shujaa.
Kuna hawa ambao wameonekana ni mashujaa Kwa wiki za hivi karibuni
Josephat Gwajima,..
Huyu baada ya kuona atakosa nafasi na hayupo kwenye chain akaamua kuja na press kuisimanga serikali huku watu wakimuita ni Shujaa
Luhaga Mpina
Mbunge wa kisesa na kipenzi cha Rais Magufuli, hakuwahi kumkubali Rais wa sasa Samia Suluhu na chuki yake ilikuwa ya wazi baada ya kukosa mianya aliyokuwa kaikusudia.
Humphrey Polepole.
Huyu naye ni kipenzi cha Magufuli,
Namuita mshamba kwakuwa kuna mengi amekuwa akiyaropoka huku wengi wakimuonabl Shujaa kumbe ni mtu alijiona hayupo kwenye ile chain ya CCM
Pumzika mahali pema Job Yustino Ndugai.
Kila nafsi itaonja mauti.
Pole Tulia Ackson,
Pole wanafamilia,.
Pole wana CCM
Pole watanzania
Kwa kuondokewa na moja ya watumishi muhimu kwenye nchi hii.
Hapana ndugu yangu nilitaka kuona rango anafananaje.. Kama imeleta shida basi naifuta Ila tafadhali usiseme ni utotoKwa heshima yako Mshana ya siku nyingi kwenye jukwaa huu utoto wala hauna maana
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya vibaya. Ni hivi, Ndugai awahi motoni akaishi na dhalimu magu, maana wana mchango mkubwa katika kuharibu demokrasia ndani ta nchi hii, na kusimika mizizi ya siasa za kishenzi.Spika Tulia Ackson ilikuwa ni haki yake kutoa hisia kama hizo.
Alikuwa naibu spika wakati Job Ndugai alikuwa Spika kamili.
Tulia Ackson huenda,nasema huenda anakumbuka mengi kutoka Kwa mtangulizi wake ambayo hatoyasema wala kuandika popote.ushauri,kiongozi,maamuzi na kuzingatia itifaki Kwa kiongozi mkubwa kama naibu spika au spika kamili
Tulia Ackson pamoja na madhaifu yake (kama yapo) ni binadamu kama binadamu wengine,anaguswa na hafurahii mengi yanayoendelea,lakini bahati mbaya yupo katika nafasi ya juu tena kwenye muhimili mkuu kama bunge.
Sehemu ambapo hupaswi kutoa matamko Kihisia bali lazima ushirikishe timu, cabinet na watu mbalimbali ili kuchuja nini kizungumzwe kwenye umma.
Martin Maranja Masese ni wa kupuuzwa pamoja na kuwa anafahamika Kwa uwazi lakini ni kijana mropokaji,hafai hata kuwa kiongozi,asiwaige kina Lema ambao ni kama wamekata tamaa na hatima Yao ya kisiasa.
Martin hafai kuwa kiongozi mahali popote ni mtu asiyezingatia miiko,Siri na hata kutoa taarifa ambazo hana uhakika nazo na watu kama Martin wapo wengi hata hapa Jamii Africa,wao mtu yeyote akiwa CCM ni adui kwao.haijalishi atasema vibaya au vizuri .
Martin najua hata uliyoahidiwa na Mbowe hatatatimia kwakuwa hampo tena chadema,hamia chauma basi, James, Yeriko wapo huko
Na hata hapa Jamii Africa wapo wengi tu Ni watu wasiojua kuchambua mambo wao kila mtu ambaye ni trash pale CCM kwao ni Shujaa.
Kuna hawa ambao wameonekana ni mashujaa Kwa wiki za hivi karibuni
Josephat Gwajima,..
Huyu baada ya kuona atakosa nafasi na hayupo kwenye chain akaamua kuja na press kuisimanga serikali huku watu wakimuita ni Shujaa
Luhaga Mpina
Mbunge wa kisesa na kipenzi cha Rais Magufuli, hakuwahi kumkubali Rais wa sasa Samia Suluhu na chuki yake ilikuwa ya wazi baada ya kukosa mianya aliyokuwa kaikusudia.
Humphrey Polepole.
Huyu naye ni kipenzi cha Magufuli,
Namuita mshamba kwakuwa kuna mengi amekuwa akiyaropoka huku wengi wakimuonabl Shujaa kumbe ni mtu alijiona hayupo kwenye ile chain ya CCM
Pumzika mahali pema Job Yustino Ndugai.
Kila nafsi itaonja mauti.
Pole Tulia Ackson,
Pole wanafamilia,.
Pole wana CCM
Pole watanzania
Kwa kuondokewa na moja ya watumishi muhimu kwenye nchi hii.
Rango si kale kakatuni fulani hivi km kinyonga kanapenda sana maji hatariHapana ndugu yangu nilitaka kuona rango anafananaje
Vito Corleone kakunja Nne muda huu anakuchora tu unavyoropoka ujinga wako usiejua kituHapa ndio unaona umetupoteza maboya vibaya. Ni hivi, Ndugai awahi motoni akaishi na dhalimu magu, maana wana mchango mkubwa katika kuharibu demokrasia ndani ta nchi hii, na kusimika mizizi ya siasa za kishenzi.
Trash, 🗑️ takatakaSpika Tulia Ackson ilikuwa ni haki yake kutoa hisia kama hizo.
Alikuwa naibu spika wakati Job Ndugai alikuwa Spika kamili.
Tulia Ackson huenda,nasema huenda anakumbuka mengi kutoka Kwa mtangulizi wake ambayo hatoyasema wala kuandika popote.ushauri,kiongozi,maamuzi na kuzingatia itifaki Kwa kiongozi mkubwa kama naibu spika au spika kamili
Tulia Ackson pamoja na madhaifu yake (kama yapo) ni binadamu kama binadamu wengine,anaguswa na hafurahii mengi yanayoendelea,lakini bahati mbaya yupo katika nafasi ya juu tena kwenye muhimili mkuu kama bunge.
Sehemu ambapo hupaswi kutoa matamko Kihisia bali lazima ushirikishe timu, cabinet na watu mbalimbali ili kuchuja nini kizungumzwe kwenye umma.
Martin Maranja Masese ni wa kupuuzwa pamoja na kuwa anafahamika Kwa uwazi lakini ni kijana mropokaji,hafai hata kuwa kiongozi,asiwaige kina Lema ambao ni kama wamekata tamaa na hatima Yao ya kisiasa.
Martin hafai kuwa kiongozi mahali popote ni mtu asiyezingatia miiko,Siri na hata kutoa taarifa ambazo hana uhakika nazo na watu kama Martin wapo wengi hata hapa Jamii Africa,wao mtu yeyote akiwa CCM ni adui kwao.haijalishi atasema vibaya au vizuri .
Martin najua hata uliyoahidiwa na Mbowe hatatatimia kwakuwa hampo tena chadema,hamia chauma basi, James, Yeriko wapo huko
Na hata hapa Jamii Africa wapo wengi tu Ni watu wasiojua kuchambua mambo wao kila mtu ambaye ni trash pale CCM kwao ni Shujaa.
Kuna hawa ambao wameonekana ni mashujaa Kwa wiki za hivi karibuni
Josephat Gwajima,..
Huyu baada ya kuona atakosa nafasi na hayupo kwenye chain akaamua kuja na press kuisimanga serikali huku watu wakimuita ni Shujaa
Luhaga Mpina
Mbunge wa kisesa na kipenzi cha Rais Magufuli, hakuwahi kumkubali Rais wa sasa Samia Suluhu na chuki yake ilikuwa ya wazi baada ya kukosa mianya aliyokuwa kaikusudia.
Humphrey Polepole.
Huyu naye ni kipenzi cha Magufuli,
Namuita mshamba kwakuwa kuna mengi amekuwa akiyaropoka huku wengi wakimuonabl Shujaa kumbe ni mtu alijiona hayupo kwenye ile chain ya CCM
Pumzika mahali pema Job Yustino Ndugai.
Kila nafsi itaonja mauti.
Pole Tulia Ackson,
Pole wanafamilia,.
Pole wana CCM
Pole watanzania
Kwa kuondokewa na moja ya watumishi muhimu kwenye nchi hii.
We ni bwege tu, anahusikaje na huo upuuzi unaouzungumziaView attachment 3434985