Martial artist tukutane hapa

Ni nzuri sana mkuu na ukiizoea ni rahisi sana kutumia katika mapigano halisi. Kusimama na mtu zaidi ya mmoja ukiwa na nunchaku huwa ni jambo la kawaida. Ishu ni wakati wa kujifunza ngumu kuiweza bila kukugonga
Mi najua movement mbili tu..za mabegani..na nyuma ya mgongo...Tena kupigana two times per one movement
 
Natafuta wapi wanafundisha Judo,Boxing,na jinsi ya kutumia Bunduki AK47,MI16,
 
Mi najua movement mbili tu..za mabegani..na nyuma ya mgongo...Tena kupigana two times per one movement
Hongera sana mkuu. Kama hizo mbili zimezoeleka vizuri basi jitahidi uongeze na mzunguko wa kiunoni pia taratibu tu kisha unaanza kujifunza kuchanganya mizunguko yote kwa wakati mmoja. Practice makes perfect, ukiifanya sana utashangaa unapata mbinu mpya kila kukicha ambazo ukichanganya zote katika mzunguko mmoja ufanisi unaongezeka.
 
Natafuta wapi wanafundisha Judo,Boxing,na jinsi ya kutumia Bunduki AK47,MI16,
Judo, boxing, karate, kung fu. Njoo uwanja wa taifa utakutana na wadau wengi watakupa muongozo. Au viwanja vya UDSM pale huwa madarasa yapo na kuna wachina wanafundisha Wushu.

Kuhusu matumizi ya bunduki hapo sijui wapi wanafundisha kaka, labda ujitoe akili ukaombe kufundishwa kambi yoyote ya jeshi [emoji23]
 
Asante kaka kwa maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…